Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano.

Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya Mungu

Kama hana izo zifa piga chini kama mimi.

 
Huo ni ujinga, sio ujanja! What about usiwe na mwanamke kabisa kama unaona hawana mchango?

Hii tabia ya kutesa watoto wa watu, ukiwa na Binti yako utaelewa, kama humtaki mtoto wa watu, mwache!

Wewe sio mwanaume smart, you are a young stupid boy, Nina mtoto ana miaka 16 anaweza kuwa na Busara kukuzidi.

Kuwa na mahusiano na mwanamke unayeweza kumpenda, kumthamini na kumpa thamani yake, ukiona Hana hizo sifa, usicheze na hisia zake, muache!
 
Hivi wewe una akili timamu?
Emu soma maelezo yangu alafu soma na maelekezo Yako...

Siwezi nikampenda, nikamthamini na kumpa Thamani mwanamke Ambae Hana akili.

Naona unaniunga mkono ila hujajua utumie modality gani
 
Niache kumuonea huruma mwanamke alafu huruma nimuoneee mwanaume mwenzangu?
We unahamasisha ushoga bila kujua
Mwanamke anaweza kukufanyia mambo ambayo yanaweza kuathiri mpaka kizazi chako

Linapokuja suala la kumuacha mwnamke usiweke huruma mbele tumia akili kufanya maamuzi Sio hisia...

Kama hujaelewa soma tena
 


Kwahiyo msimamo wako ni upi komando.
 
Ugumu wa maisha usikufanye uchukie warembo ...afu auko smart we hujielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…