Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

Wadau wa Jamii forums sio watu wazuri kabisa utafungua kila aina ya thread andika post wanakuchora tu siku ukijichanganya watu wanaanza kufukua mengine hata ulishasahu kama uliandika 😆😆
Unaweza sema wote ni usalama humu 😂
 
A'udhu billahi min ash-shaytaan rajeem
Hata tukikesha club asubuhi tuko gym
Ninampenda tena namuheshimu
Mkata shombo ukipenda muite ndimu

Bomboclaat
Nakubali nakubali ndugu mwenyekiti wa chama la wanna KATAA NDOA

BOMBOCLAAAAAAAT!!!!!!

📌NTOA MADA YUPO SAHIHI ILA AMEVUNJA CODE MOJA YA MSINGI SANA AMBAYO ASIPOKAA FRESH ANAWEZA AKAJA KULAMBA TAPISHI LAKE.

📌KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA NIREJEE KIFUNGU CHA KATIBA YA KATAA NDOA.IBARA YA SABA KIFUNGU CHA KWANZA "MWANAUME KAMWE USIMTAMKIE HUMTAKI MWANAMKE AMBAYE KWA WAKATI HUO BICHWA LAKO LA JUU LINA NGUVU KUSHINDA LA CHINI"

📌Pia nikirejea kifungu cha Kumi ibara ya tano katika sheria ya mahusiano ya mwaka 546BC iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2020." Ni mwiko mwanaume kuagana kwa text za kawaida au watsup na mpenzi wako pale mnapoachana".

📍📍📍MTOA MADA Nipo Dar USIRUDIE TENA KUFANYA KOSA HILO LA KIUFUNDI,MALEGEND HUWA TUNANYUTI SHWAAA NDO IMETOKA HIYO, NA PISI IKIJIMIX TENA TUNAIYAS BILA KUSIMP!!!!
 
Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future

Pampuchi sio kitu Cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano.

Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi

Mwanamke akupe peace of mind
Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa.

Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku
Awe na ofu ya Mungu

Kama Hana izo zifa piga chini kama Mimi.
View attachment 3394753
Mbona imekaa kitoto?
 
Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future

Pampuchi sio kitu Cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano.

Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi

Mwanamke akupe peace of mind
Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa.

Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku
Awe na ofu ya Mungu

Kama Hana izo zifa piga chini kama Mimi.
View attachment 3394753
Kwani amekosea nini mbona kama unamnyanyasa binti wa watu, huo uliofanya ni ushamba tu wala si ujanja.
 
Huo ni ujinga, sio ujanja! What about usiwe na mwanamke kabisa kama unaona hawana mchango?

Hii tabia ya kutesa watoto wa watu, ukiwa na Binti yako utaelewa, kama humtaki mtoto wa watu, mwache!

Wewe sio mwanaume smart, you are a young stupid boy, Nina mtoto ana miaka 16 anaweza kuwa na Busara kukuzidi.

Kuwa na mahusiano na mwanamke unayeweza kumpenda, kumthamini na kumpa thamani yake, ukiona Hana hizo sifa, usicheze na hisia zake, muache!
Si ndiyo amemuacha? Au? Kwani walianza mahusiano kwa makubaliano ya kuja kuishi pamoja?
Labda mazingira ndiyo yaliwaweka pamoja? Ungeuliza labda kabla ya kuwa pamoja makubaliano yao yalikuwa ni yapi kuliko kumshukia k8asi hicho.
 
Thanks big sis kwa clarification ni kweli wanaweza kua wamefanya hivo kwa empathy lakini ukiangalia kwa uhalisia kabisaa mtoa mada yupo sahihi

Hata huyu mwanamke akikaa akitulia atagundua kua Haya ni maamuzi sahihi hata kabla ya kufika mbali ni vile tu ego itamfanya aumie kihisia

lakini piaa mtoa mada kama ilivyosemwa ni mtu ambaye anajitafuta kuingia kwenye mahusiano saivi ni move hatari kwake na kuamua kufocus na kujipambania na kujijenga ndo suala la msingi na ndicho alichokifanya hapo juu

Kilichonifanya nijibu ni WATU kuanza kumshambulia kwa maamuzi yake then unawaza kama ni masikini na hawezi labda kumuafford huyo Binti alitakiwa afanye nini hapo make kwa nilivyoelewa mtoa mada kajiasses kaona hawaendani kaamua kumwambia ukweli mapema kabla ya kupotezeana muda

Lazima tukubali ukweli sio kila utakachokitaka kwenye maisha yako utakipata kuna vitu utavikosa mwanaume walio kwenye age 18-25 wanaojitafuta watanielewa hapa hii inaaply hata kwa wanawake pia

Tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama hayakufurahishi

Nje ya mada binti kiziwi nakuchukulia kama mwanamke ambaye ameshavuka ujana na ni fan Wa threads zako mbalimbali

Bib
kijana yupo sahihi kabisa wala hana ubaya. Kafanya kitu sahihi maana angechelewa yeye angefanyiwa hivyo na huyo binti baada ya kupata mtu bora zaidi ya kijana wa Dar.


Mapenzi ni GAME OF CHANCE,ukizubaa unaliwa kingi, cha muhimu ni kumuwahi adui kabla hujawahiwa.

Hao masimp for whatever the reasons watakazokuja nazo.Sheria ni msumeno inakata kwa yule aliyezubaa,awe dadako,awe nyanyako,awe mamako awe mkeo.Wahi kabla hujawahiwa ukitia huruma wahuni hawaelewi.Utachapiwa, utalombewa,watamix by nyash na hakuna kitu utafanya.


📌📌📌To all simps,your all welcome to the stage. The game has no rules.🤗🤗🤗
 
Sawa, Sasa mkuu
Unajua sio kila wakati unaweza kujua Tabia za mwanamke, mara nyingi Tabia zake unakuja kuzifahamu baada ya mahusiano.

Ukweli ni kwamba Mimi ndio nilimtongoza uyo binti, ila Tabia ambazo nimemkuta nazo Naona kabisa siwezi kufika nae popote.

Ndio maana nikaaanza kujiisolate ili anielewe mwisho wa siku nimemwambia ukweli kuwa siwezi kuwa nae.

Sasa kosa langu Nini?
01.hana time management
02.hana financial displine
03.Hana vision
04.Hana future
05.hata saving hawezi

Muda wote yuko active kwenye social media.
Hana huruma na Mimi hajui upi muda wangu wa kupumzika upi muda wangu wa kuwasiliana

Kwaiyo nitakuwa sawa kuendelea kutafuta maisha na binti kama huyu?
Achana na hawa mapopoma wa Jf kaza humo humo ila siku nyingine usijieleze kwa mwanamke ukiwa unamuacha.Mwendo huwa ni kunyuti kimya ajiongeze mwenyewe..
 
Nakubali nakubali ndugu mwenyekiti wa chama la wanna KATAA NDOA

BOMBOCLAAAAAAAT!!!!!!

📌NTOA MADA YUPO SAHIHI ILA AMEVUNJA CODE MOJA YA MSINGI SANA AMBAYO ASIPOKAA FRESH ANAWEZA AKAJA KULAMBA TAPISHI LAKE.

📌KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA NIREJEE KIFUNGU CHA KATIBA YA KATAA NDOA.IBARA YA SABA KIFUNGU CHA KWANZA "MWANAUME KAMWE USIMTAMKIE HUMTAKI MWANAMKE AMBAYE KWA WAKATI HUO BICHWA LAKO LA JUU LINA NGUVU KUSHINDA LA CHINI"

📌Pia nikirejea kifungu cha Kumi ibara ya tano katika sheria ya mahusiano ya mwaka 546BC iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2020." Ni mwiko mwanaume kuagana kwa text za kawaida au watsup na mpenzi wako pale mnapoachana".

📍📍📍MTOA MADA Nipo Dar USIRUDIE TENA KUFANYA KOSA HILO LA KIUFUNDI,MALEGEND HUWA TUNANYUTI SHWAAA NDO IMETOKA HIYO, NA PISI IKIJIMIX TENA TUNAIYAS BILA KUSIMP!!!!
Sawa katibu hakika nitaifata misingi
 
Wewe tu mkongwe, chagua kuishi vile nafsi yako inapenda.


20250302_095036.jpg
 
Hili nalo linaaply pande zote kuna mi hua naamini chanzo cha migogoro yote kwenye mapenzi inatokana na sababu hatuambiani ukweli na wala hatuwekani wazi toka siku tunatongozana na hatuwekani wazi kwasababu tunaishi kinafiki na jamii ndo inatutaka tuwe hivo

Kama tungekua tunaishi kwenye honestly mfano Mimi hapa nimemuona mwanamke nikamtamani deep down nimemtamani tu sijataka kufanya nae maisha nilitakiwa niende nimwambie nimekutamani tukakulane na sio mahusiano seriously then huyu mwanamke aone ni kawaida then jibu liwe yes nimevutiwa au no sijavutiwa na ww simple tu na isionekane ni suala la ajabu


Lakini in reality nimemtamani siwezi kwenda na hiyo approach inabidi nimwambie kile anachotaka kusikia so ntamwambia nampenda na nataka mahusiano seriously kumbe deep down nataka K Tu nikipata k unafikiri ntaendelea kubaki hapa??!

Na mwisho wa siku ntaonekana mbaya kwamba nimebadilika lakini sijabadilika chochote ndivyo livyokua toka mwanzo na pia kua broke hakumfanyi mtu kukosa nyege hii ni suala ambalo lipo nje ya uwezo wetu

Mwisho kuna mtu mpaka ukae nae ndo utajua tabia zake hamuwezani anahitaji mwingine kuachana kwa wema ndo kinachotakiwa hapa. Na pia mahusiano na ndoa sometimes ni chemistry baina yenu mkidate tu kwasababu mliongozwa na upwiru kuna wakati upwiru utaisha utabaki uhalisia Wa kila mtu na ndo chemistry inakuja hapa kama hamkua na chemistry nyingine yoyote lazima mapenzi yatakua boring tu

I stand to be corrected
Siku wale watu wa “oa bikra” wakileta uzi zao ntakuita uwaeleweshe kuwa ni ndoto za mchana wanawake kubaki na bikra zao mpaka waolewe, sababu maelezo yako yanasum-up hiki.

Mimi huwaambia jamii yetu ina tatizo la kimaadili ambalo hatuwezi kulicontrol, They are too idealistic!
 
Back
Top Bottom