Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

Huyu mvulana nilimlegezea kumjibu kistaarabu ila akadhani amepata pakutolea hasira za umasikini wake,ndio nikaanza kupiga nyundo za kichwa.
We ***** Nini nani anataka ustarabu wako??
Watu tunakata fact sio mawazo mdebwedo kama Yako
Kama huna suggestions kakae na mkeo mjadili kuhusu matatizo yenu
Matatizo Yako usilete Huku matako wewe
 
Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi.

Umemaliza kila kitu....📌
 
Huo ni ujinga, sio ujanja! What about usiwe na mwanamke kabisa kama unaona hawana mchango?

Hii tabia ya kutesa watoto wa watu, ukiwa na Binti yako utaelewa, kama humtaki mtoto wa watu, mwache!

Wewe sio mwanaume smart, you are a young stupid boy, Nina mtoto ana miaka 16 anaweza kuwa na Busara kukuzidi.

Kuwa na mahusiano na mwanamke unayeweza kumpenda, kumthamini na kumpa thamani yake, ukiona Hana hizo sifa, usicheze na hisia zake, muache!
Hii comment inatosha kufunga huu mjadala.

Natangaza rasmi kua hii thread imefungwa kuanzia muda huu.
 
Dr nimesema sijaona comment yako napita hapa kumbe ushapita,

Nataka kufahamu maoni yako kosa la huyu kijana ni lipi?

kama watu wazima mnamshauri vipi pasi na kumtukana ili awe muelewa ?
 
Masimp na watetezi Wa wanawake wako busy kumshambulia mtoa mada kama hana malengo na huyo Binti alitakiwa atumie approach gani??

Huyo mwanamke angekua na choice bora kuliko huyo mwanaume unafikiri angewaza Mara 2 ifikie mahala tutumie akili kuliko hisia kwenye kufanya maamuzi

Nasimama na mtoa mada
Mtu kutetea wanawake haimfanyi yeye kuwa simp Rico, Yawezekana ni watu empathetic, au basi tu wana watoto wa kike au wana wadogo zao/ dada zao ambao hawatopenda wafanyiwe ndivyo sivyo. Ukichunguza vizuri utagundua yawezekana kuwa huwa wanawatetea wanaume wenzao pia wakifanyiwa vibaya. Calling them simps kama namna ya kuwadiscorage au kuwa fanya wajisikie less haifanyi ninyi mkawa “more” .

Again, A simp ni mtu anayefanya beyond ilikupata attention ya mwanamke/wanawake wakati huo huo energy yake hairudishwi, Kwa tafsiri hii, inakataa kuwaweka wahusika kwenye usimp maana energy yao sisi wanawake wa JF tunaireciprocate, We seriously appreciate them… Na tuko tayari kushika mapanga mkiwagusa (nasema kama katibu “mnyeki” wa wanawake wa JF) Self proclaimed title. Jokes aside.

However; kama tumekubaliana tuitane simps then i will conclude everyone is a simp, Kuna kitu kinaitwa “parasocial relationship” na “diehard fans borderline“ Nenda kajifunze kuhusu hayo then urudi so that we can call each other names, Cause who is safe!!!? HONESTLY …

I hope this helps.
 
Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future

Pampuchi sio kitu Cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano.

Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi

Mwanamke akupe peace of mind
Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa.

Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku
Awe na ofu ya Mungu

Kama Hana izo zifa piga chini kama Mimi.
View attachment 3394753
JENGA KWANZA WANAWAKE WAPO TU.
KARIBU KINGLION TUKUHUDUMIE.
 
We ***** Nini nani anataka ustarabu wako??
Watu tunakata fact sio mawazo mdebwedo kama Yako
Kama huna suggestions kakae na mkeo mjadili kuhusu matatizo yenu
Matatizo Yako usilete Huku matako wewe
Nimekukamata kalio kidogo tu ila umesha anza kutupa miguu huku na kule.
 
Thanks big sis kwa clarification ni kweli wanaweza kua wamefanya hivo kwa empathy lakini ukiangalia kwa uhalisia kabisaa mtoa mada yupo sahihi

Hata huyu mwanamke akikaa akitulia atagundua kua Haya ni maamuzi sahihi hata kabla ya kufika mbali ni vile tu ego itamfanya aumie kihisia

lakini piaa mtoa mada kama ilivyosemwa ni mtu ambaye anajitafuta kuingia kwenye mahusiano saivi ni move hatari kwake na kuamua kufocus na kujipambania na kujijenga ndo suala la msingi na ndicho alichokifanya hapo juu

Kilichonifanya nijibu ni WATU kuanza kumshambulia kwa maamuzi yake then unawaza kama ni masikini na hawezi labda kumuafford huyo Binti alitakiwa afanye nini hapo make kwa nilivyoelewa mtoa mada kajiasses kaona hawaendani kaamua kumwambia ukweli mapema kabla ya kupotezeana muda

Lazima tukubali ukweli sio kila utakachokitaka kwenye maisha yako utakipata kuna vitu utavikosa mwanaume walio kwenye age 18-25 wanaojitafuta watanielewa hapa hii inaaply hata kwa wanawake pia

Tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama hayakufurahishi

Nje ya mada binti kiziwi nakuchukulia kama mwanamke ambaye ameshavuka ujana na ni fan Wa threads zako mbalimbali
Mtu kutetea wanawake haimfanyi yeye kuwa simp Rico, Yawezekana ni watu empathetic, au basi tu wana watoto wa kike au wana wadogo zao/ dada zao ambao hawatopenda wafanyiwe ndivyo sivyo. Ukichunguza vizuri utagundua yawezekana kuwa huwa wanawatetea wanaume wenzao pia wakifanyiwa vibaya. Calling them simps kama namna ya kuwadiscorage au kuwa fanya wajisikie less haifanyi nini mkawa “more” .

Again, A simp ni mtu anayefanya beyond ilikupata attention ya mwanamke/wanawake wakati huo huo energy yake hairudishwi, Kwa tafsiri hii, inakataa kuwaweka wahusika kwenye usimp maana energy yao sisi wanawake wa JF tunaireciprocate, We seriously appreciate them… Na tuko tayari kushika mapanga mkiwagusa (nasema kama katibu “mnyeki” wa wanawake wa JF) Self proclaimed title. Jokes aside.

However; kama tumekubaliana tuitane simps then i will conclude everyone is a simp, Kuna kitu kinaitwa “parasocial relationship” na “diehard fans borderline“ Nenda kajifunze kuhusu hayo then urudi so that we can call each other names, Cause who is safe!!!? HONESTLY …

I hope this helps.
Bib
 
Thanks big sis kwa clarification ni kweli wanaweza kua wamefanya hivo kwa empathy lakini ukiangalia kwa uhalisia kabisaa mtoa mada yupo sahihi

Hata huyu mwanamke akikaa akitulia atagundua kua Haya ni maamuzi sahihi hata kabla ya kufika mbali ni vile tu ego itamfanya aumie kihisia

lakini piaa mtoa mada kama ilivyosemwa ni mtu ambaye anajitafuta kuingia kwenye mahusiano saivi ni move hatari kwake na kuamua kufocus na kujipambania na kujijenga ndo suala la msingi na ndicho alichokifanya hapo juu

Kilichonifanya nijibu ni WATU kuanza kumshambulia kwa maamuzi yake then unawaza kama ni masikini na hawezi labda kumuafford huyo Binti alitakiwa afanye nini hapo make kwa nilivyoelewa mtoa mada kajiasses kaona hawaendani kaamua kumwambia ukweli mapema kabla ya kupotezeana muda

Lazima tukubali ukweli sio kila utakachokitaka kwenye maisha yako utakipata kuna vitu utavikosa mwanaume walio kwenye age 18-25 wanaojitafuta watanielewa hapa hii inaaply hata kwa wanawake pia

Tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama hayakufurahishi

Nje ya mada binti kiziwi nakuchukulia kama mwanamke ambaye ameshavuka ujana na ni fan Wa threads zako mbalimbali

Bib
Dah kwa hekima hii uliandika mkuu naomba nikufollow nianze kujifunza Zaidi kutoka kwako.
Niseme tu ahsante sana mkuu
Naomba nitafute maisha ti wanawake wapo
 
Huo ni ujinga, sio ujanja! What about usiwe na mwanamke kabisa kama unaona hawana mchango?

Hii tabia ya kutesa watoto wa watu, ukiwa na Binti yako utaelewa, kama humtaki mtoto wa watu, mwache!

Wewe sio mwanaume smart, you are a young stupid boy, Nina mtoto ana miaka 16 anaweza kuwa na Busara kukuzidi.

Kuwa na mahusiano na mwanamke unayeweza kumpenda, kumthamini na kumpa thamani yake, ukiona Hana hizo sifa, usicheze na hisia zake, muache!
Uzi ufungwee.
 
Thanks big sis kwa clarification ni kweli wanaweza kua wamefanya hivo kwa empathy lakini ukiangalia kwa uhalisia kabisaa mtoa mada yupo sahihi

Hata huyu mwanamke akikaa akitulia atagundua kua Haya ni maamuzi sahihi hata kabla ya kufika mbali ni vile tu ego itamfanya aumie kihisia

lakini piaa mtoa mada kama ilivyosemwa ni mtu ambaye anajitafuta kuingia kwenye mahusiano saivi ni move hatari kwake na kuamua kufocus na kujipambania na kujijenga ndo suala la msingi na ndicho alichokifanya hapo juu

Kilichonifanya nijibu ni WATU kuanza kumshambulia kwa maamuzi yake then unawaza kama ni masikini na hawezi labda kumuafford huyo Binti alitakiwa afanye nini hapo make kwa nilivyoelewa mtoa mada kajiasses kaona hawaendani kaamua kumwambia ukweli mapema kabla ya kupotezeana muda

Lazima tukubali ukweli sio kila utakachokitaka kwenye maisha yako utakipata kuna vitu utavikosa mwanaume walio kwenye age 18-25 wanaojitafuta watanielewa hapa hii inaaply hata kwa wanawake pia

Tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama hayakufurahishi

Nje ya mada binti kiziwi nakuchukulia kama mwanamke ambaye ameshavuka ujana na ni fan Wa threads zako mbalimbali
Sawasawa asante, comment yangu ilikuwa general isikupe neno.

Umeeleza vizuri pia, Mi najua kilichotrigger watu wakawa wakali, unajua JF watu wanazingua ila deep down wanajua kufikiria kwa usahihi. Namna pekee mleta mada ataepuka na mawe wanayorusha wadau ni atakaposema alitongozwa na huyo binti, Wadau wanaruka naye sababu wanajua kuwa pengine ndugu yetu aliaenda kutia vocal, baada ya kumalizana na haja zake hamtaki mwenzie, kwa kisingizio kuwa hana akili…..

To the best of my understanding.
 
Back
Top Bottom