Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
- #41
Daah mkuu nashukuru sana hakika umenielewaMasimp na watetezi Wa wanawake wako busy kumshambulia mtoa mada kama hana malengo na huyo Binti alitakiwa atumie approach gani??
Huyo mwanamke angekua na choice bora kuliko huyo mwanaume unafikiri angewaza Mara 2 ifikie mahala tutumie akili kuliko hisia kwenye kufanya maamuzi
Nasimama na mtoa mada
Angekuwa amepata option asingekuwa na Mimi mpaka now.
Mbili sina malengo nae kwasababu Hana sifa za kuwa mke mkuu
Sasa yanini niendelee kukaa na mtu Ambae Naona kabisa Hana faida kwenye maisha yangu???
Kuliko kumtumia Naona Bora nimwambie ukweli tu
Sasa kosa langu Nini apo ety bro