The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Si wanasema kua ni chakula cha mifugo.
Si wanasema kua ni chakula cha mifugo.
Dah appreciate masterYani nawashangaa wamekazana kuchimba threads za nyuma na kushambulia mtoa mada wakati kilichoandikwa ni simple
Kila mtu ana preferences zake kwenye mahusiano kama wao wanavyotaka tall,dark,handsome mwenye hela iweje wewe kuweka vigezo vyako imekua nongwa
Tena ni ustaarabu umefanyika hapa badala ya kumpotezea muda umemwambia ukweli aendelee na maisha yake ili apate mwanaume sahihi kwake ko walitaka uendelee kuvumilia tu hata kama hamuendani
Huu ujinga Wa baadhi ya masimp kujiona watetezi Wa wanawake unanifikirisha kwakweli
Hahaha dah ama kweli umri sio akiliNaona umeanza kua mpole,si ulianza kwa kunitukana? Wewe tatizo lako ni ugumu wa maisha,ungeachana na wanawake kwanza ili utafute hela na kuweka akiba,
Nyuzi zako za ugumu wa maisha yako yanayokukabili bado zinaishi humu JF
Nashukuru sana bint kiziwiOf course, you have no business dating if you’re still fighting your demons and losing.
Dating ni kwaajili ya watu waliokomaa, kukomaa huko kujumuishe kukomaa kihisia na kiuchumi.
Wanashukuriwa wengine mimi walaa !!!Nashukuru sana bint kiziwi
Umesha anza kuniita "Bwana" mara hii tu!Hahaha dah ama kweli umri sio akili
Sasa mbona unajibu nje na navyokuuliza ??
Bwana weeeh nitoleee matope
Jini kwa hoja acha Tabia za kike sawa Tausi?
Sijakuzoea kua mpole hivi, nikadhani hapa patachimbika.Hizi hasira ungezielekeza kwenye kutafuta hela ingekua umefanya jambo la maana sana,kuliko kukaa na buku 3 ndani.
Kavu kavu bila kilainishiWanaume kama sisi wenye akili timamu na future
Pampuchi sio kitu Cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano.
Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi
Mwanamke akupe peace of mind
Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa.
Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku
Awe na ofu ya Mungu
Kama Hana izo zifa piga chini kama Mimi.
View attachment 3394753
Huyu mvulana nilimlegezea kumjibu kistaarabu ila akadhani amepata pakutolea hasira za umasikini wake,ndio nikaanza kupiga nyundo za kichwa.Sijakuzoea kua mpole hivi, nikadhani hapa patachimbika.
MmhHuo ni ujinga, sio ujanja! What about usiwe na mwanamke kabisa kama unaona hawana mchango?
Hii tabia ya kutesa watoto wa watu, ukiwa na Binti yako utaelewa, kama humtaki mtoto wa watu, mwache!
Wewe sio mwanaume smart, you are a young stupid boy, Nina mtoto ana miaka 16 anaweza kuwa na Busara kukuzidi.
Kuwa na mahusiano na mwanamke unayeweza kumpenda, kumthamini na kumpa thamani yake, ukiona Hana hizo sifa, usicheze na hisia zake, muache!
Hahha huna hojaUmesha anza kuniita "Bwana" mara hii tu!
Mimi sitafuni machoko,hebu tafuta mwingine ili akukune huo muwasho unaokutoa ufahamu.