Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
- #21
Nashukuru sanaAnhaa sawa mkuu, polee
Nashukuru sanaAnhaa sawa mkuu, polee
🤣🤣🤣🤣 kumbukumbu toka Maktaba![]()
Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??
Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo. Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno. Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno. Kifupi najihisi...www.jamiiforums.com
![]()
Picha: Mimi ni kijana wa hovyo..
Wale vijana ambao hawana mchango katika hili taifa basi Mimi ni namba moja. Hapa nishapata sehemu ya uzinzii. Kama wewe hujawai kuzini basi naomba unitukane. Kama umewai kufanya huu upumbafu basi ukinitikana hakikisha umejitukana....! Ujana maji ya moyowww.jamiiforums.com
Kwahiyo msimamo wako ni upi komando.
Hivi wewe una akili timamu?
Emu soma maelezo yangu alafu soma na maelekezo Yako...
Siwezi nikampenda, nikamthamini na kumpa Thamani mwanamke Ambae Hana akili.
Naona unaniunga mkono ila hujajua utumie modality gani
Mkuu usimpandishe cheo huyo kwenye uanaume,huyo yupo kwenye level za uvulana bado,Wanaume hatupo hivyo.Kasema anamis uwepo wako that means umekuwa naye, kama baada ya hapo ukiona hafai,
Ungekata mawasiliano, unamvuta mtoto wa watu, you are no straight, halafu unasema wewe ni mwanaume smart, very stupid, useless, unatuabisha!
Kucheza na hisia na watoto wa watu sio kuwa mwanaume strong, fool!
Pumbavu kabisa kama wewe unaogopa kuchezea hisia zao basi kaa tayari kuchezewa hisia zako..Kasema anamis uwepo wako that means umekuwa naye, kama baada ya hapo ukiona hafai,
Ungekata mawasiliano, unamvuta mtoto wa watu, you are no straight, halafu unasema wewe ni mwanaume smart, very stupid, useless, unatuabisha!
Kucheza na hisia na watoto wa watu sio kuwa mwanaume strong, fool!
Pumbavu kabisa kama wewe unaogopa kuchezea hisia zao basi kaa tayari kuchezewa hisia zako..
Wewe ni good guy?? Nyie ndio mnagongewa wake...
Yani mwanamke uwe nae kwenye mahusiano then Hana Any contribution
Socially
Mentally
Economically
Alafu nimgande😂
Alafu nikikuita mpumbavu unasema nakutukana
Hakunaga kommando mbele ya dem labda kama humpendi.Sawa komando
Matatizo yake ni serious sana 😂😂😂 kuongeza na wanawake tena atachanganyikiwa huyu.![]()
Nina miaka 25, ndani Nina akiba ya elfu tatu si umasikini huu
Airtel money sina kitu Mix by yass sina kitu Vodacom sina kitu Crdb bank sina kitu Nmb sina kitu Ndani Nina buku tatu kama akiba ntatoboa kweli? Kama Kuna mtu amewai kupitia. Hali hii anipe muongozowww.jamiiforums.com
Acha nyeto dogoWanaume kama sisi wenye akili timamu na future
Pampuchi sio kitu Cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano.
Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi
Mwanamke akupe peace of mind
Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa.
Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku
Awe na ofu ya Mungu
Kama Hana izo zifa piga chini kama Mimi.
View attachment 3394753
Bro naelewa hali yako maumivu ya mapenzi sio mchezo unaweza geuka mwehu na ukapoteza ubinadamu kabisa ila kuna umri ukifika utakaa sawa tu bro.Pumbavu kabisa kama wewe unaogopa kuchezea hisia zao basi kaa tayari kuchezewa hisia zako..
Wewe ni good guy?? Nyie ndio mnagongewa wake...
Yani mwanamke uwe nae kwenye mahusiano then Hana Any contribution
Socially
Mentally
Economically
Alafu nimgande😂
Alafu nikikuita mpumbavu unasema nakutukana
Kichaafulani Hua mapema mapenz matamBro naelewa hali yako maumivu ya mapenzi sio mchezo unaweza geuka mwehu na ukapoteza ubinadamu kabisa ila kuna umri ukifika utakaa sawa tu bro.
Yani unajiita mwanaume alafu unakaa unafatilia thread za mwanaume mwenzio haitoshi unazileta kwa wanaume wenzio wazione😂![]()
Nina miaka 25, ndani Nina akiba ya elfu tatu si umasikini huu
Airtel money sina kitu Mix by yass sina kitu Vodacom sina kitu Crdb bank sina kitu Nmb sina kitu Ndani Nina buku tatu kama akiba ntatoboa kweli? Kama Kuna mtu amewai kupitia. Hali hii anipe muongozowww.jamiiforums.com
![]()
Nina miaka 25, ndani Nina akiba ya elfu tatu si umasikini huu
Airtel money sina kitu Mix by yass sina kitu Vodacom sina kitu Crdb bank sina kitu Nmb sina kitu Ndani Nina buku tatu kama akiba ntatoboa kweli? Kama Kuna mtu amewai kupitia. Hali hii anipe muongozowww.jamiiforums.com
Mimi sio bro wako ACHA kiherehere kwani huna ndugu wa kuwaita bro mpaka uniite Mimi??Bro naelewa hali yako maumivu ya mapenzi sio mchezo unaweza geuka mwehu na ukapoteza ubinadamu kabisa ila kuna umri ukifika utakaa sawa tu bro.
Hizi hasira ungezielekeza kwenye kutafuta hela ingekua umefanya jambo la maana sana,kuliko kukaa na buku 3 ndani.Yani unajiita mwanaume alafu unakaa unafatilia thread za mwanaume mwenzio haitoshi unazileta kwa wanaume wenzio wazione😂
Nikisema una Tabia za kishoga unasema nakutukana🫰
Amka bro utakuja kufiii
Yani unajiita mwanaume alafu unakaa unafatilia thread za mwanaume wenzio haitoshi unazileta kwa wanaume wenzio wazione😂![]()
Nina miaka 25, ndani Nina akiba ya elfu tatu si umasikini huu
Airtel money sina kitu Mix by yass sina kitu Vodacom sina kitu Crdb bank sina kitu Nmb sina kitu Ndani Nina buku tatu kama akiba ntatoboa kweli? Kama Kuna mtu amewai kupitia. Hali hii anipe muongozowww.jamiiforums.com
Yako umeyamaliza?Matatizo yake ni serious sana 😂😂😂 kuongeza na wanawake tena atachanganyikiwa huyu.
Pole mkuu mapenzi yanweza kukufanya hata watu wema na wenye ushauri mzuri kama mimi ukawaona wabaya , ila utapona tu master ni suala la mda tu bwashee.Mimi sio bro wako ACHA kiherehere kwani huna ndugu wa kuwaita bro mpaka uniite Mimi??