Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

Em tuma namba yake tumpooze koo. Ila ukiwa mwanamke na hauna chochote utadharaulika kwa namna fulani. Na pia utakuwa mtumwa wa ndoa. Hii huwezi kuielewa kama hauna akili. Watoto wangu wakike nitawaambia wajitafute kiuchumi kwanza wakiwa na vichwa vizito watajua wenyewe😃
😂😂😂😂😂
 
Thanks big sis kwa clarification ni kweli wanaweza kua wamefanya hivo kwa empathy lakini ukiangalia kwa uhalisia kabisaa mtoa mada yupo sahihi

Hata huyu mwanamke akikaa akitulia atagundua kua Haya ni maamuzi sahihi hata kabla ya kufika mbali ni vile tu ego itamfanya aumie kihisia

lakini piaa mtoa mada kama ilivyosemwa ni mtu ambaye anajitafuta kuingia kwenye mahusiano saivi ni move hatari kwake na kuamua kufocus na kujipambania na kujijenga ndo suala la msingi na ndicho alichokifanya hapo juu

Kilichonifanya nijibu ni WATU kuanza kumshambulia kwa maamuzi yake then unawaza kama ni masikini na hawezi labda kumuafford huyo Binti alitakiwa afanye nini hapo make kwa nilivyoelewa mtoa mada kajiasses kaona hawaendani kaamua kumwambia ukweli mapema kabla ya kupotezeana muda

Lazima tukubali ukweli sio kila utakachokitaka kwenye maisha yako utakipata kuna vitu utavikosa mwanaume walio kwenye age 18-25 wanaojitafuta watanielewa hapa hii inaaply hata kwa wanawake pia

Tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama hayakufurahishi

Nje ya mada binti kiziwi nakuchukulia kama mwanamke ambaye ameshavuka ujana na ni fan Wa threads zako mbalimbali

Bib
Hii imekaa poa. 👏👏👏
 
Sawasawa asante, comment yangu ilikuwa general isikupe neno.

Umeeleza vizuri pia, Mi najua kilichotrigger watu wakawa wakali, unajua JF watu wanazingua ila deep down wanajua kufikiria kwa usahihi. Namna pekee mleta mada ataepuka na mawe wanayorusha wadau ni atakaposema alitongozwa na huyo binti, Wadau wanaruka naye sababu wanajua kuwa pengine ndugu yetu aliaenda kutia vocal, baada ya kumalizana na haja zake hamtaki mwenzie, kwa kisingizio kuwa hana akili…..

To the best of my understanding.
Umenisaidia nilichotaka kuandika, 🙏🙏
 
Kwahiyo msimamo wako ni upi komando.
Yeye ni kijana wa hovyo hua ndiyo msimamo wake...
 
Sawasawa asante, comment yangu ilikuwa general isikupe neno.

Umeeleza vizuri pia, Mi najua kilichotrigger watu wakawa wakali, unajua JF watu wanazingua ila deep down wanajua kufikiria kwa usahihi. Namna pekee mleta mada ataepuka na mawe wanayorusha wadau ni atakaposema alitongozwa na huyo binti, Wadau wanaruka naye sababu wanajua kuwa pengine ndugu yetu aliaenda kutia vocal, baada ya kumalizana na haja zake hamtaki mwenzie, kwa kisingizio kuwa hana akili…..

To the best of my understanding.
Sawa, Sasa mkuu
Unajua sio kila wakati unaweza kujua Tabia za mwanamke, mara nyingi Tabia zake unakuja kuzifahamu baada ya mahusiano.

Ukweli ni kwamba Mimi ndio nilimtongoza uyo binti, ila Tabia ambazo nimemkuta nazo Naona kabisa siwezi kufika nae popote.

Ndio maana nikaaanza kujiisolate ili anielewe mwisho wa siku nimemwambia ukweli kuwa siwezi kuwa nae.

Sasa kosa langu Nini?
01.hana time management
02.hana financial displine
03.Hana vision
04.Hana future
05.hata saving hawezi

Muda wote yuko active kwenye social media.
Hana huruma na Mimi hajui upi muda wangu wa kupumzika upi muda wangu wa kuwasiliana

Kwaiyo nitakuwa sawa kuendelea kutafuta maisha na binti kama huyu?
 
To be fair huna kosa. Kosa ulilifanya mwanzo na umeamua urekebishe. Kurekebisha kosa haifuti hili kosa specifically sababu kuna mtu mwingine anaenda kuumia. Utasamehewa, sisi wote wadhambi.

Sasa usitafute mwanamke wa kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate mwanamke wa kujenga naye familia.

Kila la heri.
 
Nashukuru sana sana sana kwa ushauri mzuri
 
Kakukosea nini?
Unaweza ukamuacha mtu alf baadaye ukaanza kumkumbuka
 
Hivi wewe una akili timamu?
Emu soma maelezo yangu alafu soma na maelekezo Yako...

Siwezi nikampenda, nikamthamini na kumpa Thamani mwanamke Ambae Hana akili.

Naona unaniunga mkono ila hujajua utumie modality gani
Utawaacha wangapi?
 
Sk upate mwenye Akili alf huyo huyo akuache
Utakumbuka jinsi ulivyowaacha na wengine
 
Mwanamke anaweza kukufanyia mambo ambayo yanaweza kuathiri mpaka kizazi chako

Linapokuja suala la kumuacha mwnamke usiweke huruma mbele tumia akili kufanya maamuzi Sio hisia...

Kama hujaelewa soma tena
Hakuna ambaye hatumii hisia
Mawazo yote ya maamuzi na mfumo wa kufikiria unakuwa originated from feelings
 
Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future

Pampuchi sio kitu Cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano.

Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi

Mwanamke akupe peace of mind
Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa.

Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku
Awe na ofu ya Mungu

Kama Hana izo zifa piga chini kama Mimi.
View attachment 3394753
Nimekuja nikidhani kuna la muhimu humu. Kama babu na bibi zako wangewaza uharo kama huu nadhani vizazi visingeendelezwa na huemda usingekuwepo kuwaza haya
 
Pumbavu kabisa kama wewe unaogopa kuchezea hisia zao basi kaa tayari kuchezewa hisia zako..

Wewe ni good guy?? Nyie ndio mnagongewa wake...
Yani mwanamke uwe nae kwenye mahusiano then Hana Any contribution
Socially
Mentally
Economically

Alafu nimgande😂
Alafu nikikuita mpumbavu unasema nakutukana
Sasa kama unaona hana contribution kwa nn ulimfuata ?
Kwa nn umuumize ?
Ungetafuta mwenye contribution kuliko
Kutafuta unayeona hana contribution na kumuacha na yeye akibaki kwenye maumivu ya kuachwa
Kama kwa style hiyo wengi sana utawaacha
 
Mwanamke anaweza kukufanyia mambo ambayo yanaweza kuathiri mpaka kizazi chako

Linapokuja suala la kumuacha mwnamke usiweke huruma mbele tumia akili kufanya maamuzi Sio hisia...

Kama hujaelewa soma tena
Wewe na single mothers wasiojitambua (wanaozaa kama fashion na sio kutelekezwa ama kufiwa na waume zao) mko sambamba.

Unawezaje kuzungumzia kizazi bila kuhusisha jinsia mbili tofauti?
 
Back
Top Bottom