Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

Sawa, Sasa mkuu
Unajua sio kila wakati unaweza kujua Tabia za mwanamke, mara nyingi Tabia zake unakuja kuzifahamu baada ya mahusiano.

Ukweli ni kwamba Mimi ndio nilimtongoza uyo binti, ila Tabia ambazo nimemkuta nazo Naona kabisa siwezi kufika nae popote.

Ndio maana nikaaanza kujiisolate ili anielewe mwisho wa siku nimemwambia ukweli kuwa siwezi kuwa nae.

Sasa kosa langu Nini?
01.hana time management
02.hana financial displine
03.Hana vision
04.Hana future
05.hata saving hawezi

Muda wote yuko active kwenye social media.
Hana huruma na Mimi hajui upi muda wangu wa kupumzika upi muda wangu wa kuwasiliana

Kwaiyo nitakuwa sawa kuendelea kutafuta maisha na binti kama huyu?
Nimekuelewa
 
Nina swal
Ulikaa kwenye mahusiano naye kwa muda gani?
 
Mtu kutetea wanawake haimfanyi yeye kuwa simp Rico, Yawezekana ni watu empathetic, au basi tu wana watoto wa kike au wana wadogo zao/ dada zao ambao hawatopenda wafanyiwe ndivyo sivyo. Ukichunguza vizuri utagundua yawezekana kuwa huwa wanawatetea wanaume wenzao pia wakifanyiwa vibaya. Calling them simps kama namna ya kuwadiscorage au kuwa fanya wajisikie less haifanyi ninyi mkawa “more” .

Again, A simp ni mtu anayefanya beyond ilikupata attention ya mwanamke/wanawake wakati huo huo energy yake hairudishwi, Kwa tafsiri hii, inakataa kuwaweka wahusika kwenye usimp maana energy yao sisi wanawake wa JF tunaireciprocate, We seriously appreciate them… Na tuko tayari kushika mapanga mkiwagusa (nasema kama katibu “mnyeki” wa wanawake wa JF) Self proclaimed title. Jokes aside.

However; kama tumekubaliana tuitane simps then i will conclude everyone is a simp, Kuna kitu kinaitwa “parasocial relationship” na “diehard fans borderline“ Nenda kajifunze kuhusu hayo then urudi so that we can call each other names, Cause who is safe!!!? HONESTLY …

I hope this helps.
Ndio maana nasema ninge kuwa mkubwa😂😊😊,

beside na mchumba mchumba ana akili Kama yako binti kiziwi ?
 
Back
Top Bottom