babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
kuna mambo yanafikirisha hao jamaa usikute walishauza mafuta njiani wakatafuta sababu tu.dereva wa lori mzima kabisaDaah jamaa wa Truck waliweka kigogo na jack na upande wa kushoto inaonekana walikua washatoa tairi kwa maelezo ya picha jamaa wa pick up kaenda kugonga Truck lililopaki likitengenezwa na likiwa upande wake...