Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Daaah hayo mambo unayosema unanikumbusha kitu.Harafu Tanzania tuna sheria mbovu sana za bara barani mtu anaharibikiwa na Truck afanyi juhudi za kuitoa anachofanya ni kuweka majani mawili tu mbele hiyo mambo Botswana hakuna hata ubebe Copper utaita gari ya kuvuta na kuitoa unapewa muda ukishindwa wao wataivuta na kukupa bill yako bongo tunasababishiana ajali kizembe sana harafu hapo utaambiwa kosa la marehemu wakati Truck ipo upande mwingine na wake..
Kuna siku natokea hii njia ya msata-bagamoyo, hapo katikati baada ya kupita kiwangwa kuna kona moja kali sana.
Sasa siku hiyo, mida ya kama saa nane usiku, nipo zangu nadema dema ikanipita chombo kama hiyo iliwa speed balaa, yule mchizi nadhani alikua 120km/h na ilikua kwenye zile kona kona.
Mbele kidogo nikasikia chuma inaliza mbwa kisha bonge moja la kishindo.
Asee kwa jinsi nilivyosikia nikajua tu hii moja kwa moja ni yule jamaa alienipita.
Nafika pale kweli naona jamaa alifunga break kipande kirefu kweli, alama za matairi zimejichora kwenye lami.
Kumbe kulikua ni kichanja kimeharibika halafu hawajaweka alama yoyote.
Ile hilux iliisha yote lakini dereva hatukumuona, tafuta sana mpaka naondoka, double cabin imefinywa kama karatasi la pipi,imepaa mpaka machakani lakini dereva hayupo.