Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.
Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.
Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.
Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.
NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!