Picha: Akina Mangungo wa nyakati zetu? Inafikirisha

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.

Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.

Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.

Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.

Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.

NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!

1687533892241.jpeg
 
Hiyo mifuko labda ndio wameshapewa zawadi hao wanafiki.
 
Kuna shida gani wakitetea mkataba? Alafu hivi tayari tuna mkataba wa DP World?
Wakili msomi, hebu nielekeze kazi ya MoU. Na kwanini ndiyo huanza kuandaliwa kabla ya mkataba?
Je, ni kipi kina nguvu ya kiutendaji kisheria Kati ya MoU na mkataba?
Je, ni kipi kikikosewa yaani MoU na mkataba kinaathiri kingine na kukifanya kikose uhalali?
 
Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.

Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.

Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.

Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.

Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.

NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!

View attachment 2666556
Wakija airport au redion , inabidi tuwazomee, Hawa masnichi
 
Umeusoma

Mkataba? Au mbongo mpe picha story ataicreate mwenyewe? Shame on you
 
Kwani mtu kuwa "mhaini" kwa nchi yake ni hadi afanye kitu gani cha kipekee kama siyo pamoja na haya wanayofanya hawa washenzi.
 
Back
Top Bottom