Picha: Angalia risasi ilivyomkosa Trump

Picha: Angalia risasi ilivyomkosa Trump

Kauli yako tu itakupa majibu mazuri ya maelezo yako
Huyo shetani wenu ,huku tunamla na kachumbari
images.jpeg-162.jpg
 
Kuna watu wanasema tukio hilo jamaa kalitengeneza uli kutafuta attention..

Alafu jamaa aliyekua anasema hivo ni kijana wa chuo kabisa mwaka wa 3


Nikisema wanafunzi sa hivi kichwani wana mi MAVI tu
Siku hizi vyuo vinadahili wajinga wengi sana.
 
Shambulio hilo kaliandaa mwenyewe
Hii ishu n very complicated, kuna video inamuonyesha sniper upande wa trump akimpiga mtuhumiwa baada ya mtuhumiwa kumjeruhi Trump, sasa watu wanauliza inakuaje muda wote mtuhumiwa yupo kwenye target yako lkn unasubiri alete madhara ndio na ww unafanya maamuzi n kwann kabla hajashambulia uwe tyar umemthibiti.
 
Shambulio hilo kaliandaa mwenyewe
Mwambieni babu nae aandae kama hata hio script ataweza kuifata, maana hata akiwekewa red carpet tu anapita pembeni hadi ashikwe mkono,,,,,,,huyo mlenga shabaha alikua anatetemeka kama babu
 
Nawaza kule kugeuka geuka ndiyo kulimsaidia! Au mnasemaje CIA, FBI, MOSSAD na MI6 wa bongo??
Unaweza kukuta hakuwa na lengo la kuua ila alikusudia kupiga hapohapo alipopiga ili kumuondoa mkutanoni, wamarekani hawaeleweki wala kutabirika
 
Mathanzua usije kutuambia NWO wapo nyuma ya mpango wa kumuua Trump....
Hiyo ni false flag ya Mossad very likely.Mazingira ya tukio hayaonyeshi kwamba hili tukio ni la kweli.Most likely limeigiliziwa ili Trump aweze kupata kura za huruma.Kwa jinsi Marekani ilivyo kwa sasa,huwezi kuamini lolote from the US.

Unaweza kuamini kwamba NASA never went to the Moon ni uongo?Can you also believe that the Twin Tower bombing in New York and the
January 6,2021 United States Capitol attack(Congress insurrection)
were false flags?Amkeni ninyi,msiamini kila ujinga mnaoletewa.

Fuata link ifuatayo, utapata picha ya kile ninacho namaanisha.
 
Hii ni risasi iliyomkosa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump. Nawaza kule kugeuka geuka ndiyo kulimsaidia! Au mnasemaje CIA, FBI, MOSSAD na MI6 wa bongo??
Wanausalama wa bongo wameikomalia hy sababu ya ety kugeuzageuza kichwa ndio imemsaidia na kama n kweli bc huyo sniper wa mchongo akifika huko peponi/jehanamu itabidi achapwe viboko
 
Vijana wa CCM hamuwezi kabisa kuuficha aibu/ujinga wenu
Ungekuwa unayo akili ya tafakari UNAAMINI Kweli kulikuwa na assassination attempt Hapo??
Hatujadili chama Cha Mtu dogo....
 
Back
Top Bottom