Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Acha propaganda chafu hazitakusaidia mkuu.Bagonza ni wakala wa beberu kama beberu wengine! Hivi unajua mpaka leo familia yake iko marekani, kwanza ni mchepukaji kama wengine, huyu askofu hana maadili. Avue kora avae gwanda kama Msigwa sio kujificha kwenye kivuli cha dini
Nimeuliza swali mkuu no hard feelingsUnaweza weka picha wakionana kabla
No hard feelings at all in this sideNimeuliza swali mkuu no hard feelings
Endelea kuwatafuna [emoji2]Huyo askofu wa Chadema wampe jimbo agombee.
Unafiki wenyewe ndio huu sasa!Anatambua mipaka yake hakurupuki kama yule wenyu wa phonerotica
Wakina pengo na wale viongozi wa dini walivyo onyesha mahaba kwa JPM mlichonga sana! Huyu Bagonza ahudumie roho za watu, kama anataka siasa avue kora avae gwanda tupambane jukwaani!Kama mtu binafsi, anayo haki na pia ni haki yake both kikatiba na kiutu/kibinadamu kuwa na utashi na uchaguzi wa amuunge nani mkono kisiasa au aunge chama gani mkono kisiasa. Msimpige madogo kwa hili alilofanya huyu Askofu.
Ulitaka awasifie?Huyo askofu wa Chadema wampe jimbo agombee.