Picha: Askofu Benson Bagonza afurahia kukutana na Tundu Lissu leo

Picha: Askofu Benson Bagonza afurahia kukutana na Tundu Lissu leo

Bagonza ni wakala wa beberu kama beberu wengine! Hivi unajua mpaka leo familia yake iko marekani, kwanza ni mchepukaji kama wengine, huyu askofu hana maadili. Avue kora avae gwanda kama Msigwa sio kujificha kwenye kivuli cha dini
Acha propaganda chafu hazitakusaidia mkuu.
 
Kama mtu binafsi, anayo haki na pia ni haki yake both kikatiba na kiutu/kibinadamu kuwa na utashi na uchaguzi wa amuunge nani mkono kisiasa au aunge chama gani mkono kisiasa. Msimpige madogo kwa hili alilofanya huyu Askofu.
Wakina pengo na wale viongozi wa dini walivyo onyesha mahaba kwa JPM mlichonga sana! Huyu Bagonza ahudumie roho za watu, kama anataka siasa avue kora avae gwanda tupambane jukwaani!
 
Back
Top Bottom