Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Huyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM.

================================

Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi 25, 2025 kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini Dar es Salaam.

Hii ni kwa mara ya kwanza Mbowe kuonekana katika shughuli ya kijamii tangu atoke katika wadhifa wa mwenyekiti Januari 22, 2025.

mbowe mwigulu.png

mbowemm2.png

mbowem3.png
 
Baba moya.

Pandikizi kimejitokeza mbele ya bilionea migulu
 
Huyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM.

================================

Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi 25, 2025 kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini Dar es Salaam.

Hii ni kwa mara ya kwanza Mbowe kuonekana katika shughuli ya kijamii tangu atoke katika wadhifa wa mwenyekiti Januari 22, 2025.

Pole sana Mh Mwigulu. Kumbe umeowa Kwa Isralites generation maisha yako ni bomba kama ya Che Mkapa. Tena naona umeenda kule kule
 
Back
Top Bottom