Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba

Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba

Mwigulu si ameoa Mke Mchaga, huenda mkewe alikuwa na undugu wa kikabila na Mzee Mbowe.

By the way, Mbowe ni Muungwana sana kawaida kujumuika kwenye event za kijamii kama hivyo
Anapotokea mbowe na mke wa mwigulu ni mbali mbali , hawana hata relation kiukoo
 
Huyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM.

================================

Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi 25, 2025 kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini Dar es Salaam.

Hii ni kwa mara ya kwanza Mbowe kuonekana katika shughuli ya kijamii tangu atoke katika wadhifa wa mwenyekiti Januari 22, 2025.

UTATUKANWA USILALAMIKE.
Huyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM.
KAULI KAMA HIZI UKIJIBIWA USILALAMIKE
 
Pole sana shogaangu Mama Neema.
Mungu akutie nguvu katika hili pito.
Njia yetu sote ni moja, mbele yake, nyuma yetu.
Pole kwa waliokuwa wafanyakazi wa UN pia,
Pole sana shemeji Mh. Lameck.
Lakini neema ni sawa na binti yako
 
Huyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM.

================================

Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi 25, 2025 kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini Dar es Salaam.

Hii ni kwa mara ya kwanza Mbowe kuonekana katika shughuli ya kijamii tangu atoke katika wadhifa wa mwenyekiti Januari 22, 2025.

Yaani wauwaji wa wanachama wako unaenda kuwapa pole Kwa kufiwa?
 
Ukimiminiwa risasi za kutosha kisa siasa lazima uwe na uadui

..ukimiminiwa risasi kwa ajili ya misimamo yako ya siasa wewe ni adui.

..ukimmiminia risasi mtu mwingine kutokana na misimamo yake kisiasa wewe huna uadui.
 
..ukimiminiwa risasi kwa ajili ya misimamo yako ya siasa wewe ni adui.

..ukimmiminia risasi mtu mwingine kutokana na misimamo yake kisiasa wewe huna uadui.
Kifo ni kifo tu ubaya ubwela
 
Nenda kawaeleze hayo vijana wanao potezwa na wengine kuuawa kama utaeleweka.
Mambo ya kukariri mipasho ndiyo yamekuwa ulaghai mkuu wa nchi hii sasa.
Wanao wafundisha mipasho hiyo ndio wahalifu wakuu.
Vipi umetoka usingizini.....
 
Back
Top Bottom