Sasa mikoani kabakia nani kama mababu/mabibi wapo mjini kila mwenye hadhi yupo dasmPole sana Mzee wa Tozo kwa msiba.
Sasa mikoani kabakia nani kama mababu/mabibi wapo mjini kila mwenye hadhi yupo dasmPole sana Mzee wa Tozo kwa msiba.
Sasa Dogo kwanini usiingie mtaani ukakinukisha kwa niaba ya Lissu? Unaloloma tu JF halafu unajifanya una machungu? Nenda huko!!!Hamkutenda vyema kumshambulia kama mnyama wa porini. Unakejeli vile haujawahi kuchomwa hata na njiti ya kiberiti.
HakikaHuenda
Huenda pia, kumbe Mwigulu ni Mlutheri halafu anautaka URais 🙌Wote walutheri Mwigulu na Mbowe kaenda kumpa pole muumini mwenzake mlutheri
Basi huenda nje ya Siasa hawa wawili ni marafikiAnapotokea mbowe na mke wa mwigulu ni mbali mbali , hawana hata relation kiukoo
Watu wengi wenye pesa nje ya siasa ni washikaji. Basi tu huku wabongo hawajuiBasi huenda nje ya Siasa hawa wawili ni marafiki
Wananchi wa nje huona kama haramuWatu wengi wenye pesa nje ya siasa ni washikaji. Basi tu huku wabongo hawajui
Hata lissu hajaoneka kote huko, angalau mbowe kaenda kwa wachaga wenzie.Mbona kwa mchengerwa hatukumuona
Ila naona bado hajakubali loss ya uenyekiti... Uzee umetingwa ghafla... Uongozi raha jamani... Mwamba kubali tu yaishe😁Mwamba sasa yuko Bench moja na Wastaafu kama akina Mzee Kikwete Jaji Warioba nk.
Lisu Hali na mafisadi bana, anasimamia maadili yake iwe jua au mvua... Wala Rushwa sio rafiki zake.. 😁Hata lissu hajaoneka kote huko, angalau mbowe kaenda kwa wachaga wenzie.
Lakini neema ni sawa na binti yako
Hapo sawa maana akili zangu za kizee nilifikiri pengine Lameck anabemendwa (joke)Nimempa pole shogaangu mama Neema.
Wakati huohuo mdogo wangu kaolewa na kaka (binamu) yake Lameck..... shemejii hiyo imekujia hapoo.
Na wakato huohuo Lameck na Neema na watoto wangu.
Siku hizi Una akili. Endelea hivi hivi na MUNGU akubarikiSiasa haina uadui.....