Ukimiminiwa risasi za kutosha kisa siasa lazima uwe na uaduiSiasa haina uadui.....
Wako wapi Ben Saanane, Mzee Ali Kibao, Soka na Mawazo?Siasa haina uadui.....
Kwa nini CHADEMA haina wabunge bungeni??Siasa na dini visitutoe katika utu wetu.
Bigup mbowe
Baba moya.Huyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM.
================================
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi 25, 2025 kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini Dar es Salaam.
Hii ni kwa mara ya kwanza Mbowe kuonekana katika shughuli ya kijamii tangu atoke katika wadhifa wa mwenyekiti Januari 22, 2025.
Kifo ni kifo tu , eti siasa sio uadui🚮Wako wapi Ben Saanane na Mawazo?
Pole sana Mh Mwigulu. Kumbe umeowa Kwa Isralites generation maisha yako ni bomba kama ya Che Mkapa. Tena naona umeenda kule kuleHuyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM.
================================
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi 25, 2025 kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini Dar es Salaam.
Hii ni kwa mara ya kwanza Mbowe kuonekana katika shughuli ya kijamii tangu atoke katika wadhifa wa mwenyekiti Januari 22, 2025.
Nenda kawaeleze hayo vijana wanao potezwa na wengine kuuawa kama utaeleweka.Siasa haina uadui.....
Kuna "utu" upi enzi hizi za CCM, au unajisemea tu bila kutafakari unayo yaandika hapa?Siasa na dini visitutoe katika utu wetu.
Bigup mbowe
Kwahiyo?Mbona kwa mchengerwa hatukumuona