Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba

Maumivu yameanza kupungua.
 
Wewe ndio muuza pombe wacha watu walewe ukifunga bar wataondoka!
Kuna aina nyingi za ulevi. Sasa usianze kunilazimisha nikupe muda wa kukueleza ulevi wako ukoje.
Hii ni tahadhari tu kwako, kwa sababu sijawahi kukupa muda kama huo siku nyingi humu.
 
Hizi picha azione lile gendaeka la CCM Mr. Kasongo tangu juzi alikuwa anamuulizia sana.
 
Kuna aina nyingi za ulevi. Sasa usianze kunilazimisha nikupe muda wa kukueleza ulevi wako ukoje.
Hii ni tahadhari tu kwako, kwa sababu sijawahi kukupa muda kama huo siku nyingi humu.
Muda ni mdogo nina shughuli nyingi kusikiliza upuuzi!
 
Mwigulu si ameoa Mke Mchaga, huenda mkewe alikuwa na undugu wa kikabila na Mzee Mbowe.

By the way, Mbowe ni Muungwana sana kawaida kujumuika kwenye event za kijamii kama hivyo
Wote walutheri Mwigulu na Mbowe kaenda kumpa pole muumini mwenzake mlutheri
 
Karibu ataonekana mitaa ya magogoni
 
Mwigulu si ameoa Mke Mchaga, huenda mkewe alikuwa na undugu wa kikabila na Mzee Mbowe.

By the way, Mbowe ni Muungwana sana kawaida kujumuika kwenye event za kijamii kama hivyo
Huenda
 
Mbowe anatukosea sana , ccm hawatutaki ,so anajipendekeza huko ili iweje? Sabaya alivyo mfanyia mambo mabya jimboni kwake ,hajifunzi? Wakati yule Mwandishi anakufa kwa Bom pale Arusha ( Mwangosi) Mwigulu alikua nani ndani ya ccm ?

CCM sio watu wa kukumbatiana nao, Akwilina yuko wapi ?

Aya ndo mambo wanachadema walimchukia sana Mbowe pamoja na mchango wake mkubwa kwenye chama.

Mbowe akiendelea na Tabia hii afukuzwe uanachama Mbwai mbwai
 
Ukiwa kila kitu unakifikiria kisiasa kisiasa au kidini dini basi ujue upstair haupo vizuri . Tanzania ni moja kwamwe tusibaguane Kwa msingi ya dini siasa au chochote kile,
 
Mna shida,Hivi Mwigulu si mwanadamu tena Mtanzania kama alivyo Mbowe.
Kwa hiyo sera ya chama ni Mbowe asipeane salamu na mtu nje ya Chadema?Kwa faida zipi?
Mwigulu na Mbowe wamekuwepo kabla ya Chadema na hata kabla ya CCM.
Mlinpiga chini mnataka nini cha ziada.Mwezenu CV yake kama Mwenyekiti tena wakuchaguliwa ni Miaka 20 sio miezi miwili.
 
Ahahahahaha! Ndio maana kahamishia familia yake Ubeleji halafu akarudi ili awatumie ninyi wajinga kulipiza kisasi sio?
Hamkutenda vyema kumshambulia kama mnyama wa porini. Unakejeli vile haujawahi kuchomwa hata na njiti ya kiberiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…