Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Hilo ndiyo tumaini la walio wengi
 
Janja ya ccm
 
Hapana, safari hii ni tofauti sana. Lowasa alijitosa akijua anashinda urais wakati Membe kapania kuwaumiza ccm kwa kusaidia kuwatemesha serikali ya Zanzibar.
Asiishie hapo.

"Kuwatemesha serikali ya Zanzibar" pekee.

Anatakiwa afanye juhudi zote awezavyo asaidie kuondoa hili balaa la CCM kila sehemu hapa nchini. Aifanye kazi hii bila kutazama atalipwa nini.

Akifanya hivi, hata ikishindikana kupata mabadiliko tarajiwa, atakuwa amejijengea heshima kubwa, kuliko alivyowahi kuwa nayo akiwa ndani ya CCM.
 
Tumuombee sana mh Membe aweze kulitekeleza hilo angalau kuidhoofisha ccm, hayo ya chama kuunda KUB ni matokeo tu
 
Habari kama hizi ukimwambia mwana ccm basi anakuona kama adui yake wa maisha no 1
Mkuu, ccm wanaitema zanzibar mwaka huu. Hili halihitaji ramli.
 
Nimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dola
CDM ndio wabinafsi namba moja, waliwatenda sana wana UKAWA wenzao, wakala ruzuku yote peke yao tofauti na makubaliano
 
Mkuu, ccm wanaitema zanzibar mwaka huu. Hili halihitaji ramli.
Mkuu
Hata mwaka 2015 cuf ilishinda uchaguzi mkuu, na kila mtu duniani anajua. Lakini mimi na wewe tunajua Jecha alifanya nini.
Jecha ni mfumo.

Kilichotokea mwaka 2015,kitatokea tena mwaka 2020, tena mwaka huu huenda kukawa na bladishedi.
 
Hasa huo ndio ukweli, Kwa sababu mara baada ya uchaguzi kila chama kitajitathimi kutokana na uchaguzi uliofanyika, Waliosimamisha wagombea katika nafasi zote wanakua wanavuna walichopanda kupitia ruzuku ya chama, Na hapa kila chama kinahitaji fedha ili kuendesha mambo mengine ya chama je ni chama gani ambacho hakitaki kupikea ruzuku? Hakuna, Binafsi naona kuungana kwa vyama vya upinzani kufakavyokua kugumu wakati huu sababu ya maslahi ya vyama vyao, Kila chama kitakuja na mgombea wake
Nimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dola
 
Wapinzani bado hawajifunzi wanategemea wagombea kutoka CCM. Ila combination ya Zitto,Maalim Seif na Membe sidhani kama itamaliza hata mwaka bila kuvunjika maana wote ni wajanja wajanja.
 
Hakika mwana...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…