Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Unaongelea nini ?Kwani nani kakwambia kuwa makosa ni kurithishana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea nini ?Kwani nani kakwambia kuwa makosa ni kurithishana?
Hilo ndiyo tumaini la walio wengiKsma hawezi kushinda anatafuta nini?
Anatakiwa aleta wanachama wa CCM na wapenzi wake upinzani.Aivuruge CCM hadi isambaratike ,iwe vipande vipande,kabla ya October. Na hiyo ndio kazi ya Spymaster si vinginevyo.
Kama hawezi hilo basi ataleta uchuro katika upinzani bora abaki neutral.
Lissu ndiye rais wako wa awamu ya sita.
Ksma hawezi kushinda anatafuata nini?
Anatakiwa aleta wanachama wa CCM na wapenzi wake upinzani.Aivuruge CCM hadi isambaratike ,iwe vipande vipande,kabla ya October. Na hiyo ndio kazi ya Spymaster si vinginevyo.
Kama hawezi hilo basi ataleta uchuro katika upinzani bora abaki neutral.
Asiishie hapo.Hapana, safari hii ni tofauti sana. Lowasa alijitosa akijua anashinda urais wakati Membe kapania kuwaumiza ccm kwa kusaidia kuwatemesha serikali ya Zanzibar.
Nakuhakikishia hawezi kufanikiwa Membe kwa Magufuli ni mwepesi sana
Asiishie hapo.
"Kuwatemesha serikali ya Zanzibar" pekee.
Anatakiwa afanye juhudi zote awezavyo asaidie kuondoa hili balaa la CCM kila sehemu hapa nchini. Aifanye kazi hii bila kutazama atalipwa nini.
Akifanya hivi, hata ikishindikana kupata mabadiliko chana, atakuwa amejijengea heshima kubwa, kuliko alivyowahi kuwa nayo akiwa ndani ya CCM.
CDM ndio wabinafsi namba moja, waliwatenda sana wana UKAWA wenzao, wakala ruzuku yote peke yao tofauti na makubalianoNimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dola
MkuuMkuu, ccm wanaitema zanzibar mwaka huu. Hili halihitaji ramli.
Tuache ujinga wa kuokota makapi ya ccmUtaelewa tu muda siyo mrefu
Nimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dola
Kwani nilini Zitto aliwahi kurushiwa mabomu kipindi hiki wakati yupo ACT?
Hakika mwana...!!Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.