Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Hapo atakaye nufaika ni Maalim Seif maana anagombea Zanzibar ambako binafsi anakubalika.
Wapinzani bado hawajifunzi bado wanategemea wagombea kutoka CCM. Ila combination ya Zitto,Maalim Seif na Membe sidhani kama itamaliza hata mwaka bila kuvunjika maana wote ni wajanja wajanja.
 
Fikiria upya ndugu.
 
Mkuu
Hata mwaka 2015 cuf ilishinda uchaguzi mkuu, na kila mtu duniani anajua. Lakini mimi na wewe tunajua Jecha alifanya nini.
Jecha ni mfumo.

Kilichotokea mwaka 2015,kitatokea tena mwaka 2020, tena mwaka huu huenda kukawa na bladishedi.

Kama kuna mtu anakusudia kufanya hayo kwa zanzibar mwaka huu, basi mtu huyo haitakii nchi mema.
 
Kama kuna mtu anakusudia kufanya hayo kwa zanzibar mwaka huu, basi mtu huyo haitakii nchi mema.
Jiandae tu kisaikolojia, ila imwagike damu , yamwagike maji , Mwinyi mdogo lazima afanywe kuwa rais wa mkoa wa Zanzibar.
 
Wacha tuwasikilize wenye maamuzi na wataalam wa intelejensia ya kutazama nini kipo mbale ya safari
Safi sana kichotakiwa ni Act na Chadema wajiunge/wasimamishe mgombea moja kila jimbo na kwenye udiwani
 
Tunakuhitaji bungeni kama . Kama Kigoma wanazingua tafuta jimbo nje ya Kigoma.
Zitto kugombea jimbo nje ya kigoma akashinda inawezekana maana tayari anajulikana vema
 
Cdm hawawezi kuingia tena kwenye huo mtego
Halafu huyu mbobezi anawataka wapinzani wote waungane ili awamalize wote kwa pamoja. Ila kama Chadema wameshamsitukia.
 
Hii hoja kubwa Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…