Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nafasi yake kwenye chama chake kama kiongozi mkuu wa ACT ni mtu mkubwa sana
Wapinzani bado hawajifunzi bado wanategemea wagombea kutoka CCM. Ila combination ya Zitto,Maalim Seif na Membe sidhani kama itamaliza hata mwaka bila kuvunjika maana wote ni wajanja wajanja.
Safi sana kichotakiwa ni Act na Chadema wajiunge/wasimamishe mgombea moja kila jimbo na kwenye udiwaniMuda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.
Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
View attachment 1504761View attachment 1504762View attachment 1504763View attachment 1504764
Fikiria upya ndugu.niliweka uzi humu moderators wakaufuta niliandika wagombea uraisi wa CCM na upinzani watajukana wikiendi hii watu watege maskio Dodoma na DA RE SALAAM Ambako upinzani watamtambulisha wao kiana.Moderatrs wakautupilia mbali
Haya MEMBE huyo hapo anatambulishwa kiana
Lisu kwa sasa nafasi yake ACT wazalendo imeshazibwa tayari apambane tu na hali yake huko CHADEMA wakimbwaga ndio kwa heri ya kuonana.Sababu yeye alikuwa akivizia wakimpiga chini Chadema aende ACT wazalendo.Sasa hiyo option haipo tena na uwezekano wa yeye kupitishwa na CHADEMA mdogo mno!!! Naliona anguko rasmi la kisiasa la Tundu Lisu
Hii ndio dhamira haswa na inawezekanaSafi sana kichotakiwa ni Act na Chadema wajiunge/wasimamishe mgombea moja kila jimbo na kwenye udiwani
Mkuu
Hata mwaka 2015 cuf ilishinda uchaguzi mkuu, na kila mtu duniani anajua. Lakini mimi na wewe tunajua Jecha alifanya nini.
Jecha ni mfumo.
Kilichotokea mwaka 2015,kitatokea tena mwaka 2020, tena mwaka huu huenda kukawa na bladishedi.
Jiandae tu kisaikolojia, ila imwagike damu , yamwagike maji , Mwinyi mdogo lazima afanywe kuwa rais wa mkoa wa Zanzibar.Kama kuna mtu anakusudia kufanya hayo kwa zanzibar mwaka huu, basi mtu huyo haitakii nchi mema.
Halafu huyu mbobezi anawataka wapinzani wote waungane ili awamalize wote kwa pamoja. Ila kama Chadema wameshamsitukia.Nawapongeza sana ccm, zitto kanasa vizuri.Kachero mzoefu ndani ya nyumba.hongereni ccm.
Hii ndio dhamira haswa na inawezekana
Fikiria upya ndugu.
Maccm wanachojali ni kushika dola tu
Hii hoja kubwa SanaJamaa jasiri miaka mitatono yupo nje ya utawala wa magufuli na mikwara yote ,mitego,hila na wenzake wote wamesalenda na bado anamatumaini na kaamua afe kiume hongera na mungu akupe umri mrefu na mwisho mwema nikukubali sana na waliokuita ,msomi,Jasusi,kachero mbobezi,na Jina jipya Putini wa Tanzania umeyatendea haki hayo majina