Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Upunguze ubinafsi ili upinzani uweze kuitoa ccm madarakani na kama haitawezekana kuitoa madarakani basi tuipunguzie vitendea kazi ambavyo ni madiwani na wabunge.
Hii hoja kubwa Sana
 
Nimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dola

Tatizo la kutwaa dola linatokana na vyama kutokuungana au ni muundo wa tume ulivyo, na katiba kuwa ya single party mode zaidi?
 
Tatizo la kutwaa dola linatokana na vyama kutokuungana au ni muundo wa tume ulivyo, na katiba kuwa ya single party mode zaidi?
We have a long way run indeed!
 
Akili zako zinakutosha tu kukuongoza kwenda chooni
CDM ndio wabinafsi namba moja, waliwatenda sana wana UKAWA wenzao, wakala ruzuku yote peke yao tofauti na makubaliano
 
Safi sana membe tupo nyuma yako... Ukigombea urais lazima upate tu
 
Hapo mnufaika ni mzee Seif
 
Safi sana membe tupo nyuma yako... Ukigombea urais lazima upate tu
Akipata urais baada ya kuiondoa ccm hiyo itakuwa ndiyo sherehe za mamilioni ya watanzania woote
 
Zitto ni mtu wa tamaa sana, hapo ccm wakimuita mezani anasahau yoote kuwa kuna watu wanakesha kumpigia debe
Inawezekana,Lakini je? Act wako tayari Kumuunga mkono mgombea wa Chadema? Mziki upo hapo
 

Hayo ndio matamanio yako, maana unajua fika Magufuli hana uwezo wa kupambana na Lisu kwa maana ya ushindani wa kisiasa. Na haya matamanio yako sio ww tu, bali ni kuanzia Magufuli mwenyewe, mpaka nwanaccm yoyote. Lisu kama Lisu ndio chaguo letu namba moja wapinzani, achaguliwe na cdm, au asichaguliwe, yeye ndio haswa chaguo letu. Mtu anayekufa kisiasa ni yule asiye na wafuasi, na sio asiyechaguliwa kugombea urais.
 
Lissu ndiye tumaini pekee kwa watanzania. Hayo mengine ni sawa na mazungumzo baada ya habari tu
 
Mkuu, nyuma ya pazia ni kwamba, CCM tayari wamefanya Yao, Kwanza, Act na Chadema ni lazima wataingia kwenye sintofahamu ya Nani Kati ya Membe ama Lisu awe mpeperusha Bendera Kwa sbb Membe ameingia upinzani Kwa lengo moja tu la kugombea Uraisi basi

Kwanza ijulikane, Tundu Lisu akikatwa ni lazima naye ataingia mgogoro na viongozi wake wa Chadema hii ni lazima na hatakuwa yeye Tu, bali Hadi wanachama wengine na Baadhi ya viongozi hapo hawataelewana

Pili, huku nako Membe na zito malengo yao yanaweza kutofautisna kimtazamo Kwa kila mmoja, Membe yeye akiamini kuwa ataweza kumshinda Magufuli, lakini Kwa Zitto yeye Hana Imani hiyo ya Membe kumshinda Magufuli ispokuwa Yeye anaangalia mtaji wa Chama chake kupitia membe kwamba, Chama chake kinaweza kupata wabunge wengi bara Kwa mgongo wa Membe na si kushinda uraisi, na mtazamo huo ndio utakaoleta shida kwenye kuunganisha vyama, Zitto naye siasa zake siku zote ni za kilaghai

Kwa hiyo huenda kila Chama kikaamua kupeperusha bendera ya Uraisi na hapa ndipo utakapoelewa kwamba, CCM Kwa siasa zake ziko juu kuliko hao wapinzani, kwamba hawaoni mitego hii ya CCM

Kwani mwaka huu wameamua kumtumia Membe ili kuivuruga zaidi Chadema hasa Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…