Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dola
We have a long way run indeed!Tatizo la kutwaa dola linatokana na vyama kutokuungana au ni muundo wa tume ulivyo, na katiba kuwa ya single party mode zaidi?
Hii combination ya Maalim Seif, Membe na Zitto kila mtu ana lengo lake. Maalim Seif ndoto yake ni Urais Zanzibar, Membe ndoto yake ni Urais wa Tanzania na anataka lazima awe mgombea wa upinzani na Zitto yeye lengo lake ni kupata wabunge wengi ili baadaye apate ruzuku ya kutosha.
Upinzani unazalisha creamWoote wanaokota makapi ya wenzao maana ccm ndiyo wanao ongoza kuokota makapi.
1:Nasari
2:Waitara
3:Mwambe
4:Lijualikali
5:......
Hii combination ya Maalim Seif, Membe na Zitto kila mtu ana lengo lake. Maalim Seif ndoto yake ni Urais Zanzibar, Membe ndoto yake ni Urais wa Tanzania na anataka lazima awe mgombea wa upinzani na Zitto yeye lengo lake ni kupata wabunge wengi ili baadaye apate ruzuku ya kutosha.
Membe yuko kazini, muda utasema.mark my wordsNadhani nia ya Zitto ni kuongeza angalau idadi ya wabunge wa kutoka kusini
niliweka uzi humu moderators wakaufuta niliandika wagombea uraisi wa CCM na upinzani watajukana wikiendi hii watu watege maskio Dodoma na DA RE SALAAM Ambako upinzani watamtambulisha wao kiana.Moderatrs wakautupilia mbali
Haya MEMBE huyo hapo anatambulishwa kiana
Lisu kwa sasa nafasi yake ACT wazalendo imeshazibwa tayari apambane tu na hali yake huko CHADEMA wakimbwaga ndio kwa heri ya kuonana.Sababu yeye alikuwa akivizia wakimpiga chini Chadema aende ACT wazalendo.Sasa hiyo option haipo tena na uwezekano wa yeye kupitishwa na CHADEMA mdogo mno!!! Naliona anguko rasmi la kisiasa la Tundu Lisu
Hayo ndio matamanio yako, maana unajua fika Magufuli hana uwezo wa kupambana na Lisu kwa maana ya ushindani wa kisiasa. Na haya matamanio yako sio ww tu, bali ni kuanzia Magufuli mwenye, mpaka nwanaccm yoyote. Lisu kama Lisu ndio chaguo letu namba moja wapinzani, achaguliwe na cdm, au asichaguliwe, yeye ndio haswa chaguo letu. Mtu anayekufa kisiasa ni yule asiye na wafuasi, na sio asiyechaguliwa kugombea urais.
We have a long way run indeed!
In prof voiceSiasa tunazipenda ila mwisho wake mbaya na wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya
Mkuu, nyuma ya pazia ni kwamba, CCM tayari wamefanya Yao, Kwanza, Act na Chadema ni lazima wataingia kwenye sintofahamu ya Nani Kati ya Membe ama Lisu awe mpeperusha Bendera Kwa sbb Membe ameingia upinzani Kwa lengo moja tu la kugombea Uraisi basiNever ever, cdm wajinyenyekeze kwa ACT kisa Membe kaenda huko? Bora kupoteza kama kupoteza huko kutakuwa kwa uchaguzi halali, lakini sio kurudia ya 2015. Huu ushauri ndio uliowaingiza mkenge cdm wa kumpokea Lowassa na mafuriko yake 2015, leo hii 90%+ ya waliorejea kuunga mkono juhudi ni waliotoka ccm. Huu ushauri wako wa hofu mfu baki nao, au kawaongezee mbinu zaidi ACT ya kuwa juu ya cdm.