Kizinga mpemba
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 218
- 194
Ujinga ni kuamini kwamba wapinzani wakiungana watashinda uchaguzi October.Ujinga uleule wa siku zote wapinzani kugawana kura. kwa mtindo huu kwanini CCM wasitawale milele
Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.
28 July, 2020.Lissu anarudi lini nchini?
mkuu kuungana kuna afadhali hata kama siyo sanaUjinga ni kuamini kwamba wapinzani wakiungana watashinda uchaguzi October.
Kosa la Zitto ni lipi hapo.?Siku zote hapa jamvini huwa maneno mengi yanasemwa sana juu ya uhalalisia wa mh Zitto kama kweli ni mwana mageuzi wa kweli au laaah
Cdm tayari tunaye mgombea tayariChadema wawe makini sana na muungano wa aina yoyote utakaomleta Membe kama mgombea Urais, watu wenye sifa wapo upinzani, huu ni wakati wao kupewa nafasi.
Wapiga kura upinzani wanao, hao wageni hawatasaidia chochote zaidi ya kujiweka mbele tu wapewe nafasi, 2015 ilikuwa fundisho zuri sana toka kwa Lowassa.
28 July, 2020.