Google pixelHii picha umeipiga kwa kutumia camera gani?
Huyo akipona harudii tena, lugha ya wao kuelewa ndio hiyohiyo mmojammoja mpaka wataelewa woteNajua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.
Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.
Hapa wa kulaumiwa bila kupepesa macho ni mamlaka zote zinazohusika kwenye kutoa leseni za udereva kwa njia za rushwa na kwa watu wasiokidhi vigezoNajua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.
Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.
Wafanye nini? Waziwekee speed governer bodaboda zote?Kuna haja tuka-introduce speed limit hata Kwa Bodaboda
Maana Kwa hiyo picha seems Boda alikuwa anaendesha speed kubwa ndiyo maana inaonekana collision ilikuwa kubwa kati yao
Hapo siku yako yote ishaharibika. Hapo ukute una gari moja sasa.
Wakae nae karibu, hana pesa ya kurekebisha hiyo gari
Japo SIRIKALI yetu ni michosho ila kwa hili la bodaboda, tutakuwa tunawaonea bure tu serikali... Wengi wao ni watu wasiojijali kabisa, hawaogopi.. Mtu yupo speed, tahadhari yake ni honi tu, hapunguzi speed ye honi tu.