Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.

Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.

Ajali_bodaboda.jpg
 
Kwani madereva wa magari ya Serikali huwa wanawahi wapi?

Ukilinganisha speed ya magari ya Serikali na speed ya maendeleo nchini, utaona utofauti ni mbingu na ardhi. Kama ile speed ndio tunao hawa viongozi mbumbumbu, pata picha wasingekuwa na speed hali inangekuwaje.
 
Kwahiyo mkuu serikali haitoi semina kila wakati kuhusu mambo ya usalama na tahadhali barabarani?
Labda ungesema ifungie mojakwamoja hii kazi ya boda boda kua kazi lasmi nasio ui Raumu serikali kwakila kitu..baadhi yamambo nisababu binafsi tuu.
WABADILIKE👈
 
Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.

Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.

Huyo akipona harudii tena, lugha ya wao kuelewa ndio hiyohiyo mmojammoja mpaka wataelewa wote
 
Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.

Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.

Hapa wa kulaumiwa bila kupepesa macho ni mamlaka zote zinazohusika kwenye kutoa leseni za udereva kwa njia za rushwa na kwa watu wasiokidhi vigezo
 
Kuna haja tuka-introduce speed limit hata Kwa Bodaboda

Maana Kwa hiyo picha seems Boda alikuwa anaendesha speed kubwa ndiyo maana inaonekana collision ilikuwa kubwa kati yao
 
Bodaboda,madereva wa vyombo vya ulinzi na viongozi Huwa hawaheshimu kabisa Sheria za usalama barabarani.wanaoheshimu Sheria ni wanyonge tu ambao huogopa kusumbuliwa na wasimamia sheria
 
Kuna haja tuka-introduce speed limit hata Kwa Bodaboda

Maana Kwa hiyo picha seems Boda alikuwa anaendesha speed kubwa ndiyo maana inaonekana collision ilikuwa kubwa kati yao
Wafanye nini? Waziwekee speed governer bodaboda zote?
Waendesha bodaboda ni vichaa mwisho huu ndio wanaoutaka.
 
Back
Top Bottom