Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.
Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.
Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.