Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

Anaweza overtake gari ya kwanza kutokea upande wa kushoto na kisha kwenda overtake gari nyingine kutokea upande wa kulia bila hata kufikiria kwamba wengine nao wanatumia vyombo vya moto

NOTE: Barabarani usidhani wote wana busara/ufikiri ka wako - chukua tahadhari
 
Wafanye nini? Waziwekee speed governer bodaboda zote?
Waendesha bodaboda ni vichaa mwisho huu ndio wanaoutaka.
Kama itawezekana, wangezifunga speed governor yenye limit ya 80km/hr

Vinginevyo watatuua abiria wao.

Kuna Siku nilikuwa nawahi ku-check-in ndege, maana zilibaki dakika 65 hivi ndege iruke na Mimi muda huo nilikuwa Sinza.

Ili kuwahi nikachukua boda ani-rush

Jamaa mwendo aliokuwa anaendesha, ukafanya nishukie njia ya panda ya Segerea, nikapiga simu kuomba nisafiri Kwa ndege ya Jioni.

Unaweza kuondoka Duniani kabla ya Siku zako Kwa uzembe wa hao bodaboda 🙌
 
Ha ha ha sasa kosa la bodaboda ni lipi hapo na umemwambia akuwahishe? Panda boda at your own risk.
 
Ha ha ha sasa kosa la bodaboda ni lipi hapo na umemwambia akuwahishe? Panda boda at your own risk.
Kilichonifanya nishukie njiani ni mwendo mkali, lakini pia ule mtindo wa kupita katikati ya magari, eti kushoto kuna gari na Kulia Kuna gari halafu jamaa anapenya katikati yao.

Nikasema kuliko kufa Kwa ajali, Bora niongeze shilingi 87,000 walizonitajia ili nisafiri jioni
 
Kama itawezekana, wangezifunga speed governor yenye limit ya 80km/hr

Vinginevyo watatuua abiria wao.

Kuna Siku nilikuwa nawahi ku-check-in ndege, maana zilibaki dakika 65 hivi ndege iruke na Mimi muda huo nilikuwa Sinza.

Ili kuwahi nikachukua boda ani-rush

Jamaa mwendo aliokuwa anaendesha, ukafanya nishukie njia ya panda ya Segerea, nikapiga simu kuomba nisafiri Kwa ndege ya Jioni.

Unaweza kuondoka Duniani kabla ya Siku zako Kwa uzembe wa hao bodaboda 🙌
Wangepiga marufuku tu hiyo biashara ya bodaboda
 
Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.

Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.

Kuna idadi ndogo sana ya bodaboda wenye akili timamu nchini. Asilimia kubwa ni vichaa walioathiriwa na matumizi ya bangi, na pombe kali.
 
Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.

Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.

Kwani na hilo gari lilikuwa linawahi wapi?
 
Naona wengi wamemshambulia bodaboda na madereva bodaboda kiujumla lakini nina imani kuwa kama endepo trafiki aliepima hyo ajali akija na majibu unaweza kuta mwenye gari ndio mwenye makosa kwa maana ukiangalia bodaboda maeneo aliyogongwa bado unabaki na maswali mengi kidogo.
Uzoefu wangu nimewahi kuwa dereva bodaboda nikawa dereva bajaji na nkamalizia daladala kabla mamb hayajanyooka nilijifunza vitu vingi saana.
Kuna vita ya dharau miongoni mwa madereva hawa saana nikiwa boda nilikuwa naamini madereva wote ukiacha bodaboda wenzangu ni maadui zangu. Hivi kila moja anamtime mwenzake.
Nilivokuwa dereva bajaj nikaamini bodaboda ndio adui zangu.
Nilivokuwa kwenye daladala nikaamini bodaboda na bajaj ndio maadui zangu barabarani nikiamin hawafuati sheria na hawana leseni bila kujali nmetokea hapo.
Niliwahi kupiga gia nikiwa na fuso fighter kwa muda pia nkajua akili za madereva fusa na magari makubwa yaana hawa madereva wa magari makubwa wanaamini barabara ni yao hasa ukiwa na gari ndogo ndo kabisa usijichanganye.
Hvyo barabarani kuna ubabe mwingi mno na matusi ya hapa na pale kila moja mbabe.
 
2014 ilikua watu 1.5m,zipigwe tu marufuku,hao mbwa hawawezi jirekebisha, yaani wao mbio tu
Nilifikiri wangewekewa vidhibiti mwendo, ili kuwanusuru na ajali

Ila kuwafungia ni kutengeneza tatizo kubwa zaidi kwenye jamii, maana uharifu utaongezeka kutokana na athari za ukosefu wa ajira
 
Siku license ikiwa milion 2 kuipata ndio watapungua washamba wote
 
Back
Top Bottom