Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
HApakuwa na picha yoyote mwanzo, i think ame edit baadae.Google pixel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HApakuwa na picha yoyote mwanzo, i think ame edit baadae.Google pixel
Hapo siku yako yote ishaharibika. Hapo ukute una gari moja sasa.
Kama itawezekana, wangezifunga speed governor yenye limit ya 80km/hrWafanye nini? Waziwekee speed governer bodaboda zote?
Waendesha bodaboda ni vichaa mwisho huu ndio wanaoutaka.
Unaweza ukadhani wako serious na kazi😂😂Kwani madereva wa magari ya Serikali huwa wanawahi wapi?
Ukilinganisha speed ya magari ya Serikali na speed ya maendeleo nchini, utaona utofauti ni mbingu na ardhi.
Ha ha ha sasa kosa la bodaboda ni lipi hapo na umemwambia akuwahishe? Panda boda at your own risk.Kama itawezekana, wangezifunga speed governor yenye limit ya 80km/hr
Vinginevyo watatuua abiria wao.
Kuna Siku nilikuwa nawahi ku-check-in ndege, maana zilibaki dakika 65 hivi ndege iruke na Mimi muda huo nilikuwa Sinza.
Ili kuwahi nikachukua boda ani-rush
Jamaa mwendo aliokuwa anaendesha, ukafanya nishukie njia ya panda ya Segerea, nikapiga simu kuomba nisafiri Kwa ndege ya Jioni.
Unaweza kuondoka Duniani kabla ya Siku zako Kwa uzembe wa hao bodaboda 🙌
Kilichonifanya nishukie njiani ni mwendo mkali, lakini pia ule mtindo wa kupita katikati ya magari, eti kushoto kuna gari na Kulia Kuna gari halafu jamaa anapenya katikati yao.Ha ha ha sasa kosa la bodaboda ni lipi hapo na umemwambia akuwahishe? Panda boda at your own risk.
Wangepiga marufuku tu hiyo biashara ya bodabodaKama itawezekana, wangezifunga speed governor yenye limit ya 80km/hr
Vinginevyo watatuua abiria wao.
Kuna Siku nilikuwa nawahi ku-check-in ndege, maana zilibaki dakika 65 hivi ndege iruke na Mimi muda huo nilikuwa Sinza.
Ili kuwahi nikachukua boda ani-rush
Jamaa mwendo aliokuwa anaendesha, ukafanya nishukie njia ya panda ya Segerea, nikapiga simu kuomba nisafiri Kwa ndege ya Jioni.
Unaweza kuondoka Duniani kabla ya Siku zako Kwa uzembe wa hao bodaboda 🙌
Kuna idadi ndogo sana ya bodaboda wenye akili timamu nchini. Asilimia kubwa ni vichaa walioathiriwa na matumizi ya bangi, na pombe kali.Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.
Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.
Ukipiga marufuku utakuwa umetengeneza tatizo lingine la ajira hivyo ku-attract uhalifu maana hizo boda boda zimeajiri zaidi ya watu 600kWangepiga marufuku tu hiyo biashara ya bodaboda
Kwani na hilo gari lilikuwa linawahi wapi?Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka yake imeishia pale maana leo hamna pesa ataingiza tena.
Serikali watafute namna ya bodaboda kuwa na nidhamu na kuheshimu sheria za barabarani, waiheshimu kama watumiaji wengine wa vyombo vya moto.
2014 ilikua watu 1.5m,zipigwe tu marufuku,hao mbwa hawawezi jirekebisha, yaani wao mbio tuUkipiga marufuku utakuwa umetengeneza tatizo lingine la ajira hivyo ku-attract uharifu maana hizo boda boda zimeajiri zaidi ya watu 600k
Dah nimecheka kindezi😂😂Kwani madereva wa magari ya Serikali huwa wanawahi wapi?
Ukilinganisha speed ya magari ya Serikali na speed ya maendeleo nchini, utaona utofauti ni mbingu na ardhi.
Nilifikiri wangewekewa vidhibiti mwendo, ili kuwanusuru na ajali2014 ilikua watu 1.5m,zipigwe tu marufuku,hao mbwa hawawezi jirekebisha, yaani wao mbio tu
Wengi sana hao, nilisikia kuna utaratibu leseni ikiisha muda, wanahitaji cheti cha shule ya udereva uliyosoma Ili wahuishe leseniNilifikiri wangewekewa vidhibiti mwendo, ili kuwanusuru na ajali
Hilo pia litasaidia kupunguza tatizoWengi sana hao, nilisikia kuna utaratibu leseni ikiisha muda, wanahitaji cheti cha shule ya udereva uliyosoma Ili wahuishe leseni