Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Mama ndio Furaha ya watanzaniaLabda ameshikilia furaha yako wewe, furaha yangu nimeishikilia mm mwenyewe...am the boss of my life!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama ndio Furaha ya watanzaniaLabda ameshikilia furaha yako wewe, furaha yangu nimeishikilia mm mwenyewe...am the boss of my life!.
Sasa mateso yote unayopata kujifanya wewe ndiye reporter wa Rais ni ya nini na kwanini unakuwa chawa?Sitafuti uteuzi dogo.
Rais Samia ndiye ameshikilia furaha ya mamilioni ya watanzania.
Huyu bwege Luka akapimwe akiliYani Watanzania wamefurahia picha?
What a shame?
Mimi ni mzalendo naye fanya kazi ya uzalendo kumuunga mkono mzalendo wa kweli kwa Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanSasa mateso yote unayopata kujifanya wewe ndiye reporter wa Rais ni ya nini na kwanini unakuwa chawa?
Acha umbumbumbu wako hapa wewe.kwani hufahamu kuwa picha ni kiwakilishi cha Sauti.picha inazungumza.Yani Watanzania wamefurahia picha?
What a shame?
Chawa tu wewe huna loloteMimi ni mzalendo naye fanya kazi ya uzalendo kumuunga mkono mzalendo wa kweli kwa Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Acha umbumbumbu wako hapa wewe.kwani hufahamu kuwa picha ni kiwakilishi cha Sauti.picha inazungumza.
Tofautisha uchawa na uzalendo.mimi ni mzalendoHuna lolote, uchawa pro
picha imetulia sana.lakini ajitahidi kulinda rasilimali za nchiNdugu zangu Watanzania,
Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya sana club ya Simba, ambayo imejikatia tamaa kabisa mbele ya Yanga Timu ambayo inapendwa na mamilioni ya watanzania na viongozi mbalimbali wakubwa wakubwa . Kwa hakika Yanga na Rais Samia ndio walioshikilia Furaha ya watanzania.
Upande Mwingine Wa pili.Hii ni Miongoni mwa picha Bora kabisa za Rais Samia,ambayo imegusa na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania.picha ambayo imevuta na kuteka hisia za wetu wengi sana hususani wakulima.
Picha ambayo imeonyesha namna Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, alivyodhamiria kwa dhati ya moyo wake kuwainua wakulima wa Nchi hii na kuwaondolea umaskini wa kipato.
Hii ni kwa kutambua kuwa kilimo ndio uti wa mgongo,pumzi ya watanzania, tumaini la wengi na Secta iliyobeba ndoto na hatima ya maisha ya mamilioni ya watanzania.
Ikumbukwe ya kuwa Rais wetu ni mkulima na amefanya kazi ya kilimo kwa Vitendo na siyo kilimo cha mdomoni na kwenye makaratasi.Rais wetu amewahi kulima Mpunga na kuwa na mashamba ya Mpunga Mkoani Morogoro.kwa hiyo anafahamu nini Mkulima anatakiwa kusaidiwa.
Ndio maana tangia kuingia kwake madarakani amekuja kama mkombozi na nuru kwa wakulima ,ndio maana tunaona akitoa mabilioni ya pesa kama Ruzuku,soko zuri kwa mazao yote pamoja na kuweka mazingira mazuri kwa mkulima kunufaika na jasho na kilimo chake badala ya kunyonywa na kubakia katika umaskini mwaka hadi mwaka.
Kama kuna Mkulima atashindwa kuinuka kiuchumi wakati huu wa Rais Samia mpaka 2030 ,basi atakuwa amepoteza bahati na fursa kubwa sana ambayo atakuja kujutia baadaye.View attachment 3064898
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wala usijali hata kidogo maana Rasilimali zetu zipo salama kabisa mikononi mwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.picha imetulia sana.lakini ajitahidi kulinda rasilimali za nchi
Vua chupi haraka akubandue. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,
Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya sana club ya Simba, ambayo imejikatia tamaa kabisa mbele ya Yanga Timu ambayo inapendwa na mamilioni ya watanzania na viongozi mbalimbali wakubwa wakubwa . Kwa hakika Yanga na Rais Samia ndio walioshikilia Furaha ya watanzania.
Upande Mwingine Wa pili.Hii ni Miongoni mwa picha Bora kabisa za Rais Samia,ambayo imegusa na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania.picha ambayo imevuta na kuteka hisia za wetu wengi sana hususani wakulima.
Picha ambayo imeonyesha namna Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, alivyodhamiria kwa dhati ya moyo wake kuwainua wakulima wa Nchi hii na kuwaondolea umaskini wa kipato.
Hii ni kwa kutambua kuwa kilimo ndio uti wa mgongo,pumzi ya watanzania, tumaini la wengi na Secta iliyobeba ndoto na hatima ya maisha ya mamilioni ya watanzania.
Ikumbukwe ya kuwa Rais wetu ni mkulima na amefanya kazi ya kilimo kwa Vitendo na siyo kilimo cha mdomoni na kwenye makaratasi.Rais wetu amewahi kulima Mpunga na kuwa na mashamba ya Mpunga Mkoani Morogoro.kwa hiyo anafahamu nini Mkulima anatakiwa kusaidiwa.
Ndio maana tangia kuingia kwake madarakani amekuja kama mkombozi na nuru kwa wakulima ,ndio maana tunaona akitoa mabilioni ya pesa kama Ruzuku,soko zuri kwa mazao yote pamoja na kuweka mazingira mazuri kwa mkulima kunufaika na jasho na kilimo chake badala ya kunyonywa na kubakia katika umaskini mwaka hadi mwaka.
Kama kuna Mkulima atashindwa kuinuka kiuchumi wakati huu wa Rais Samia mpaka 2030 ,basi atakuwa amepoteza bahati na fursa kubwa sana ambayo atakuja kujutia baadaye.View attachment 3064898
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uzalendo uupate wapi wewe chawa mafisadi .Tofautisha uchawa na uzalendo.mimi ni mzalendo
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nasema ukweli na siyo kuzingua.😂 😂
We jamaa bwana unazingua Sana
Huo ni msukule😂 😂

Sawa ila imegusa Mamilioni ya WatanzaniaPicha za mwisho mwisho kabla hatujamuondoa madarakani 2025.