Picha Bora ya Rais Samia Iliyogusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania

Uchawa nayo pia ni kazi ngumu.
 
Yale matrekta yaliyoletwa kwa mauzo pale TAMCO Kibaha aliuziwa nani?

Aliyenunua bado analo linafanya kazi?

Mkulima mwenye kipato cha 300,000 kwa mwaka atalinunuaje trekta la milioni 200,000,000?

Tuoneshe mkulima wa kawaida ana trekta au power tiller ambalo rais kapelekwa kuoneshwa kama sio anapelekwa wakulima wenye mitaji mikubwa kuainzia bilioni!!!
 
Mama Samia mi5 tenaa....Shida upinzani wanatumia nguvu kubwa mama aonekane sio Kiongozi mzuri jambo ambalo sio kweli
 
Mama Samia mi5 tenaa....Shida upinzani wanatumia nguvu kubwa mama aonekane sio Kiongozi mzuri jambo ambalo sio kweli
Wapinzani wamefanyaje na CCM bunge lote lenu na serikali yenu Wapinzani wanatumia nguvu kubwa kwenye nini?
 
Ukiwa unapoteza kabisa uhuru wako binafsi na inabidi kuwa makini na kila unachofanywa au kushauriwa. Mwaka huu huko Zambia, Rais alizindua miradi ya mabilioni ila wahuni wakachomekea kwenye ratiba azindue choo kipya cha serikali. Wapinzani wakaanza kumsulubu kupitia hiyo picha.
 

Attachments

  • FB_IMG_1723193742795.jpg
    48.7 KB · Views: 2
Mama Samia mi5 tenaa....Shida upinzani wanatumia nguvu kubwa mama aonekane sio Kiongozi mzuri jambo ambalo sio kweli
Watanzania bado wana imani kubwa sana na uongozi wa Rais Samia.ndio maana wanaendelea kumuunga mkono kwa sababu wameona maendeleo makubwa yaliyopatikana ndani ya muda mfupi wa Uongozi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…