Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani
Muda mfupi baadae na Abdulmajid Nsekela CEO wa CRDB ameunga mkono "challenge" hiyo
Zamani tulishazoea kuwa uchawa unafanywa na wasanii tu ila sasa hivi hadi MaCEO nao wameunga tela.
Natamani matukio ya hivi yazidi kuwa mengi ili tuone breaking point ya mambo haya kichawa itakuwa ni nini