Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Wajinga wamefanya niache kula vitumbua. Sifa mpaka zinakuwa kero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KITUMBUA CHA MAMA🤣🤣🤣Kitumbua Cha mama🤣🤣🤣
..haya endelea na ulemavu wako, lithisha na wanao hiki unachosema..bila shaka watatoboa!Maisha hayana formula mzee
Ova
wasije wakaita kitumbua cha mamaBora tu waishie kwenye chai ya mama, wasiende mbele zaidi wakataja jina la hicho kitafunwa na kukiita kama wanavyoita...
Anyway kila kitu ni cha mama...
Lakini nimteuleCEO wa CRDB si mteule wa rais maana CRDB si benki ya serikali. DANIDA ndo ana share nyingi, akifuatiwa na psssf na kisha nssf ya uganda
Kwa kuzingatia Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu,Natamani matukio ya hivi yazidi kuwa mengi ili tuone breaking point ya mambo haya kichawa itakuwa ni nini
- Pre GE2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kule CRDB kuna mikopo ya kidini ...huyu alipatikana kwa merits kweli au dini ilitumika kumbeba, hata kwa kumtizama tu, hana sifa za kuwa ceo..
Wengi gani hao wanataka kumtoa ndugu?
huyu bwana nilikuwa namuelewa sana, nimeshangaa kawa mpumbavu ghaflaBado picha ya msanii AY
Eboo Chai na Vitumbua vya mama ni vingi vilikuwa kama sita ivi🤣🤣🤣Kitumbua Cha mama🤣🤣🤣
Simbanking kaipaisha hasa humjui weweHuyu CEO wa CRDB mweupe mno kichwani.
Sio chai, kinachopewa promo ni vitumbua ila sasa jina lake lina utata likiunganishwa na "mama"Eti chai ya mama, hii nchi ina upuuzi mwingi sana.
Mnamtoaje?Mm na yy
Zii ni kitumbu° cha mama.Eti chai ya mama, hii nchi ina upuuzi mwingi sana.