Pre GE2025 Picha: CEO wa CRDB nae aunga mkono Vitumbua Challenge ya Steve Nyerere. Mama ndo "anapendwa" kiasi hiki?

Pre GE2025 Picha: CEO wa CRDB nae aunga mkono Vitumbua Challenge ya Steve Nyerere. Mama ndo "anapendwa" kiasi hiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani

Muda mfupi baadae na Abdulmajid Nsekela CEO wa CRDB ameunga mkono "challenge" hiyo

Zamani tulishazoea kuwa uchawa unafanywa na wasanii tu ila sasa hivi hadi MaCEO nao wameunga tela.

Natamani matukio ya hivi yazidi kuwa mengi ili tuone breaking point ya mambo haya kichawa itakuwa ni nini

View attachment 3252912


View attachment 3252909
Sycophantic behavior, kila sehemu,samia katia mpunga wa kutosha wa serikali hapo crab, kuna bond inaitwa samia infrastructure bond, unaikopesha serikali mapesa kupitia crdb, harafu unapata faida kwa asilimia 22!
Crdb, imepata ukwasi wa kutosha wa kujitanua
 
Hahaha hahaha. Wakati Keir starmer wenu kavuka Atlantic kumshawishi Trump mambo ya Tarrifs na ana mpango wa kujenga nyumba million moja za Serikali. Sisi huku na mavitumbua yetu.
Na Brexit imetusaidia yaani kama sio Europe sasa
Ni mwendo wa madili
Na Kagame hapa tunakuna vichwa
Priti Patel alituingiza cha kike akapiga hela kwa dili la Wakimbizi kupelekwa Rwanda
Sasa tunaweka Sunctions, sijui ataturudishia wakimbizi au atawatimua huko 😄

Yajayo mazuri, ila Mr Slim kapiga hela ndefu tutamtapisha 😄
 
Hahaha hahaha. Wakati Keir starmer wenu kavuka Atlantic kumshawishi Trump mambo ya Tarrifs na ana mpango wa kujenga nyumba million moja za Serikali. Sisi huku na mavitumbua yetu.
Mimi ningependa kuona viongozi wetu hawa siku wanakuja na mikakati kabambe kuhusu mambo ya makazi,kujenga nyumba nafuu kwa ajili ya wananchi syo kila siku maagizo
Sasa vitumbua challenge itatusaidia nini

Ova
 
Tafsiri sahihi..
images - 2025-02-28T165906.781.jpeg
 
Back
Top Bottom