Pre GE2025 Picha: CEO wa CRDB nae aunga mkono Vitumbua Challenge ya Steve Nyerere. Mama ndo "anapendwa" kiasi hiki?

Pre GE2025 Picha: CEO wa CRDB nae aunga mkono Vitumbua Challenge ya Steve Nyerere. Mama ndo "anapendwa" kiasi hiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kwani huyo CEO si ni juzi tu hapo alilamba uteuzi wa kuwa mwenyekiti wa bodi..wala sio ajabu nayeye kuanza kujipendekeza namna hiyo kwani ashaingizwa kwenye mfumo wa walamba asali.!
 
Bora tu waishie kwenye chai ya mama, wasiende mbele zaidi wakataja jina la hicho kitafunwa na kukiita kama wanavyoita...

Anyway kila kitu ni cha mama...
Nilitakata niandike ... cha mama, mwanasheria wangu amenikataza baada ya kuwasiliana na kamanda Muliro.
 
Wakuu,

Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani

Muda mfupi baadae na Abdulmajid Nsekela CEO wa CRDB ameunga mkono "challenge" hiyo

Zamani tulishazoea kuwa uchawa unafanywa na wasanii tu ila sasa hivi hadi MaCEO nao wameunga tela.

Natamani matukio ya hivi yazidi kuwa mengi ili tuone breaking point ya mambo haya kichawa itakuwa ni nini

View attachment 3252912

View attachment 3252909

Uchawa umezidi. Vitumbua sio vizuri kwa afya yako
 
Steve Nyerere. Jamaa mpaka Jina lake ni fake ! halafu eti sisi tumuamini
 
Eti chai ya mama, hii nchi ina upuuzi mwingi sana.
Nchi hii imechanganyikiwa nahisi sisi ni kichekesho hata kwa majirani.
Hizi juhudi zingewekwa katika kusukuma agenda na vitu vya maana kama kuwahamasisha na kuwaunga mkono watu kuanzisha startups na kwendana na mabadiliko ya kiteknolojia.
Ila sasa ndio hivyo ni mwendo wa chawa kuchukua hatamu
 
Back
Top Bottom