Pre GE2025 Picha: CEO wa CRDB nae aunga mkono Vitumbua Challenge ya Steve Nyerere. Mama ndo "anapendwa" kiasi hiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wajinga wamefanya niache kula vitumbua. Sifa mpaka zinakuwa kero
 
Bora tu waishie kwenye chai ya mama, wasiende mbele zaidi wakataja jina la hicho kitafunwa na kukiita kama wanavyoita...

Anyway kila kitu ni cha mama...
wasije wakaita kitumbua cha mama
 
..huyu alipatikana kwa merits kweli au dini ilitumika kumbeba, hata kwa kumtizama tu, hana sifa za kuwa ceo..
Kule CRDB kuna mikopo ya kidini .
Ni mizuri kwa sababu haina riba . Ila inaonyesha jinsi serikali inavyokosa mikakati ya kuwakwamua watu wote bila kujali itikadi.

Kama mikopo isiyo na riba ni mizuri basi iwe kwa wote .

Watanganyika ni watu wapenda rushwa sana.
Ndio maana ukoloni mambo leo unarudi kwa kasi kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…