PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

Ukimuamini Mungu kweli unaweza kuruhusu nyoka mwenye sumu akuume, kwa sababu imeandikwa ukiamini hata sumu ya nyoka haitakudhuru.

Ukiogopa kucheza na nyoka hivyo, maana yake ni kwamba humuamini huyo Mungu hivyo.

Polepole alipata false confidence sana, partly kwa sababu ya kuamini Mungu anamlinda.

Huelewi wapi?
Hizo ni dhana zako au katika dini nyingine.

Uislamu umeelekeza kuchukua tahadhari na kufanya sababu muhimu katika kuendea majambo hadi Kuna Aya ya kutaka watu wajiandae kwa vita katika kila nyenzo muhimu .

IMani kwetu haikupi self confidence ya kuwa negligent bali inakutengenezea optimism and high sene of vigilance.

Uislamu unataka mtu mwenyewe kwanza apambane , awe makini na ajitume pamoja na kumtegemea Mungu.
images (11).jpeg
 
Hizo ni dhana zako au katika dini nyingine.

Uislamu umeelekeza kuchukua tahadhari na kufanya sababu muhimu katika kuendea majambo hadi Kuna Aya ya kutaka watu wajiandae kwa vita katika kila nyenzo muhimu .

IMani kwetu haikupi self confidence ya kuwa negligent bali inakutengenezea optimism and high sene of vigilance.

Uislamu unataka mtu mwenyewe kwanza apambane , awe makini na ajitume pamoja na kumtegemea Mungu.View attachment 3484568
Uislamu ndiyo unaongoza kwa kuwafanya watu wajilipue kwa jina la Allah katika Jihad kwa kutarajia kupewa mabikra huko peponi.

Dini yoyote inayosisitiza kuwa hapa duniani si makao yetu ya kudumu tunapita tu, makao yetu ya kudumu ni mbinguni, haiwezi kuthamini uhai wa hapa duniani kuliko hiyo hadithi ya kwenda mbinguni.

Acha ujinga.
 
Uislamu ndiyo unaongoza kwa kuwafanya watu wajilipue kwa jina la Allah katika Jihad kwa kutarajia kupewa mabikra huko peponi.

Acha ujinga.
Ni wajinga wasio na elimu wanatumia maandiko vibaya.

Sawa sawa na mtu kutumia kisu kukata nyanya kwa maaji.

Uislamu umekataza mtu kujitoa uhai kwa makusudi na kuua raia wasio na hatia
 
Ni wajinga wasio na elimu wanatumia maandiko vibaya.

Sawa sawa na mtu kutumia kisu kukata nyanya kwa maaji.

Uislamu umekataza mtu kujitoa uhai kwa makusudi na kuua raia wasio na hatia
Huo uwezekano wa watu kutumia hayo maandiko vibaya unaonesha hayo maandiko ni ya watu tu, si maneno ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ni ushahidi kuwa huyo Mungu hayupo.

Ni ushahidi kuwa Quran ni kitabu kilichoandikwa na watu tu na kina ujinga mwingi tu.

Angekuwapo huyo Allah kweli, angeweza kirahisi tu kufanya maneno yake yasiweze kutumika vibaya.

Mnajazana ujinga tu kwenye hivyo vitabu vyenu.

Watoto ndani kupigana unaweza kutumia ushahidi kuwa hayupo Baba wa Familia ?

Hata mtaani Kuna weza kuwa watu na nywele nyingi lakini vinyozi wapo .
 
Wala sikuhitaji maelezo yote hayo sababu mm sipo kwenye hayo ya polepole na Imani yake
Mimi nilichosema huwa unatafuta sababu ili uanze kubishana siku nzima na wiki nzima kwa jambo hilo hilo

Hapa kwenyewe unatamani tuendelee kubishana siku nzima as if hatuna kazi zingine za kufanya
Atakuwa kati ya makabila haya: muha, msukuma, mnyaturu, mgogo, msambaa, mpare au mmasai
 
Watoto ndani kupigana unaweza kutumia ushahidi kuwa hayupo Baba wa Familia ?

Hata mtaani Kuna weza kuwa watu na nywele nyingi lakini vinyozi wapo .
Sasa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ni sawa na Baba wa Familia?

Baba wa Familia ana uwezo wote? Ana ujuzi wote? Ana upendo wote?

Unaelewa kanuni ya kulinganisha vitu inakutaka ulinganishe vinavyolinganishika?

Unajua hutakiwi kufanya hesabu za cross multiplication ikiwa namba moja kati ya nne ni infinity?
 
Wapi Mungu kasema yeye ana upendo wote ?

Tuseme ndio anaupendo wote na kuwa na ujuzi wote wa kila kitu hapo nakubali ni sifa yake . Sasa kuwa na upendo wote na ujuzi wote kunalazimisha mtu asiruhu hayo mambo unayoona mabaya ?

Mtu anaweza kuwa na upendo na Mkewe hata Wanawake na akawapiga sometimes kwa hasira au kuonya na Hilo haliondoi fact kuwa yeye anao upendo ?

Kuacha hayo mambo yatokee hakuondoi facts kuhusu ujuzi au upendo .

Ingekuwa dosari ni kutofanya uadilifu, mfano aseme Duniani ni sehemu ya raha halafu watu wakateseka hapo tutasema amedanganya na kwenda kinyume na uadilifu.
 
Unauliza wapi Mungu kasema ana upendo wote? Wewe Muislamu kweli?

Unajua hata kupiga Bismillah?

"" Bismillah Rahman Rahim" is the Basmala, an Arabic phrase meaning "In the name of God, the Most Gracious, the Most Merciful". It is recited by Muslims before beginning any task to seek divine guidance and blessings, and it also begins every chapter of the Quran except for the ninth one. "

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba dunia yenye kuweza kuwa na baya lolote kwa viumbe vyake. That is a contradiction.

Magonjwa, njaa, kifo, yote yasingewezekana.

Na hizo habari za watu kwenda kuchomwa motoni zisingewezekana.

Hizo jabari zimewezekana kwa sababu huyo Mungu hayupo, ni wa hadithi za kutungwa na watu tu.

Na hata hiyo Quran ina contradictions nyingi sana. Nikikuwekea hapa huwezi kumaliza kuzipangua.

Huelewi wapi?
 
Hii nchi inaelekea kubaya. Haya yanayo endelea kwa sasa nchini, ni mambo ya hatari sana kwa ustawi wa Taifa.
Hii ni recipe ya ukombozi. Ukombozi wa Tanzania uko mikononi mwetu Watanzania. Huu ushetani unaoendelea utazidi kuchochea chuki yetu dhidi ya watawala mpaka ifikie the critical mass of anger itakayotupeleka barabarani na kuwang’oa wadhalimu. Mimi nasema oppressors waendelee tu—sooner or later watavuna wanachokipanda!
 
EPISODE XXX
When death is weaponized!
NB:

... kwa uongo wa Wabongo, DNA (Vinasaba) vya hiyo damu vikipimwa tutaambiwa ni damu ya mbuzi au mchuzi wa fenesi uliowekewa tomato sauce!
😅
 
Naam kuna kosa la kimkakati.
Yupo padre mmoja kule bagamoyo mkuu wa taasisi ya kanisa yenye idara nyingi.
Padre huyo hana nyumba moja ya kulala Wala ya makazi . Anaishi kaujasusi sana lakini hana shida n watu wala jamii.

Sasa huyu mpendwa wetu amekuwa weakness kiasi hiki wakati anafahamu fika vita yake ni kubwa sana na anaopambana nao wana nguvu kubwa sana.
Alitakiwa ajipange sana na usmati wa hali ya juu
 
Poor Polepole😩, leo wamekugeuka utafikiri na wewe ulikuwa mpinzani .
 
Back
Top Bottom