Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #141
Ushaona wapi swali linajibiwa na swali? Wewe au hao waliokudanganya kuwa bandari imeuzwa ndio mlitakiwa muoneshe hivyo vifungu ili kurahisisha kile kinachowafanya mzunguke nchi nzima kwa malipo madogo mnayopata.Wewe onyesha vifungu kwenye mkataba vinavyoonyesha kuwa bandari zetu hazijauzwa.