Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,799 Reaction score 14,215 Aug 4, 2023 Thread starter #141 Jemima Jackson said: Wewe onyesha vifungu kwenye mkataba vinavyoonyesha kuwa bandari zetu hazijauzwa. Click to expand... Ushaona wapi swali linajibiwa na swali? Wewe au hao waliokudanganya kuwa bandari imeuzwa ndio mlitakiwa muoneshe hivyo vifungu ili kurahisisha kile kinachowafanya mzunguke nchi nzima kwa malipo madogo mnayopata.
Jemima Jackson said: Wewe onyesha vifungu kwenye mkataba vinavyoonyesha kuwa bandari zetu hazijauzwa. Click to expand... Ushaona wapi swali linajibiwa na swali? Wewe au hao waliokudanganya kuwa bandari imeuzwa ndio mlitakiwa muoneshe hivyo vifungu ili kurahisisha kile kinachowafanya mzunguke nchi nzima kwa malipo madogo mnayopata.