Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
tangazo hilo la kwenye tv
ha ha ha ha hii inaitwa ulipo tupo, JF ina members wengi sana.Watu wamechukua mpaka videohuyu hapa akipelekwa polisi
kwenye hii picha nimependa tu pozi la huyo shuhuda
sheria bin sheria
kwenye hii picha nimependa tu pozi la huyo shuhuda
Tutamsikia akikanusha kwenye jahazi.
Haya ni matangazo maarufu sana hapa Tanzania katika vyombo vyetu vya habari na katika matangazo
mbalimbali katika miji yetu. Sasa leo walikutana hawa wawili Michepuko sio dili na Tii sheria bila Shuruti....
Vumbi lake ilikuwa balaaa.....kuna trafiki wa kike ilikuwa afe, ni bahati yake tu...Lakini mpaka mwisho
imeonekana Michepuko inaendelea mpaka rumande...Tii sheria bila shuruti hataki masihara haangalii wewe
ni nani wala una nini..

Tanzania nchi pekee ambayo kila mtu yupo jukwaani ana-perform
Mbona nasikia walikuwa wanatengeneza tangazo la kutii sheria bila shuruti? Sijui kama ni kweli au la.