Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Akiwa tayari keshatinga ndani ya selo. Bravo bravo Jeshi la Police..
 
Attachments

  • 1407593470243.jpg
    1407593470243.jpg
    46 KB · Views: 327
Nimetumia hii picha wadau mdadavue naskia yupo lock up 1407604378839.jpg
 
Haya ni matangazo maarufu sana hapa Tanzania katika vyombo vyetu vya habari na katika matangazo
mbalimbali katika miji yetu. Sasa leo walikutana hawa wawili Michepuko sio dili na Tii sheria bila Shuruti....

Vumbi lake ilikuwa balaaa.....kuna trafiki wa kike ilikuwa afe, ni bahati yake tu...Lakini mpaka mwisho
imeonekana Michepuko inaendelea mpaka rumande...Tii sheria bila shuruti hataki masihara haangalii wewe
ni nani wala una nini..

10590577_628353400614092_5585622190314235384_n.jpg

MY TAKE: Kuna watangazaji wa kituo fulani (Cl..) cha redio hapa Tz wao wakifanya makosa/ujinga huwa wanajitetea
kuwa walikuwa wanafanya Tangazo/Matangazo!!! Binafsi nadhani hili sio sawa kabisa, na wao hawako juu ya sheria
za nchi hii. Hii ni mara ya pili sasa...Ipo siku watakuja kumuua mtu hivi hivi....
 
Mshenzi tu huyo..akanushe nini wanajifanya TZ ishakuwa yao.ndio mwanangu kuwa uyaone.leo kayaona
 
Haya ni matangazo maarufu sana hapa Tanzania katika vyombo vyetu vya habari na katika matangazo
mbalimbali katika miji yetu. Sasa leo walikutana hawa wawili Michepuko sio dili na Tii sheria bila Shuruti....

Vumbi lake ilikuwa balaaa.....kuna trafiki wa kike ilikuwa afe, ni bahati yake tu...Lakini mpaka mwisho
imeonekana Michepuko inaendelea mpaka rumande...Tii sheria bila shuruti hataki masihara haangalii wewe
ni nani wala una nini..

Tanzania nchi pekee ambayo kila mtu yupo jukwaani ana-perform
 
Leo weekend.. Wasilipe dhamana hilo tikiti maji.
 
Haya ni matangazo maarufu sana hapa Tanzania katika vyombo vyetu vya habari na katika matangazo
mbalimbali katika miji yetu. Sasa leo walikutana hawa wawili Michepuko sio dili na Tii sheria bila Shuruti....

Vumbi lake ilikuwa balaaa.....kuna trafiki wa kike ilikuwa afe, ni bahati yake tu...Lakini mpaka mwisho
imeonekana Michepuko inaendelea mpaka rumande...Tii sheria bila shuruti hataki masihara haangalii wewe
ni nani wala una nini..

Mbona nasikia ni tangazo tu wote walikuwa wanaigiza tu mkuu!
 
Mbona nasikia walikuwa wanatengeneza tangazo la kutii sheria bila shuruti? Sijui kama ni kweli au la.
 
Back
Top Bottom