Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Ingekuwa wenzetu huko Ulaya kwa upuuzu alioufanya asingepata tena deal za kucheza matangazo maana kampuni makini haiwezi kujihusisha na watu wahuni, ila hapa Bongo eti hiyo ni kik
 
Habari JF lovers,
Hii ishu ya Kibonde ni kama ime kick sana, kwamba alijaribu kuvunja sheria huku akiwa amelewa,
The fact is Kibonde alikua anatengeneza Tangazo la Usalama Barabarani "TII SHERIA BILA SHURUTI"

Tangazo au SERIES kabisa........ Maana barabarani hadi kituo cha polisi na kuwekwa Mahabusu
 
Hayo yote waliyotaka ni makosa ila kosa moja hapo ambalo anaweza kuchomoka ambalo ni kubwa ni hilo kosa la kunywa pombe,kama walikuwa wamelewa na wakakataa kupimwa basi ni good advantage hata mahakamani wakiambiwa hivyo watawauliza police mna ushahidi gani.

Me mwenyewe endapo nimekamatwa nimelewa sikubali kupima....kupoteza ushahidi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Habari JF lovers,
Hii ishu ya Kibonde ni kama ime kick sana, kwamba alijaribu kuvunja sheria huku akiwa amelewa,
The fact is Kibonde alikua anatengeneza Tangazo la Usalama Barabarani "TII SHERIA BILA SHURUTI"

Hilo "tangazo" hata likitoka litachosha sana watazamaji maana ni refu mno.

Kuanzia makumbusho,mwenge,ubungo mpaka lockup orstebay!
 

hebu njoeni sasa enyi wake zake kibonde mnaomtetea tangu jana eti ni tangazo la utii bila shuruti walilopewa kuliandaa. Kauli ya polisi ndo hii hapa. Kama vp ikanusheni na yenyewe, manake si ndo nyie mliompa kazi kamanda poti wambura!
 

Unaambiwa askari katekwa, katukanwa bado unataka amkamate kwa kwa mahaba? Ok foleni inachelewesha watu, kwa hiyo unaamua kumgonga aliyembele yako kisha husimami unakimbia kwani huyo aliyembele yako ndiye kasababisha foleni.
Kitendo alichofanya Kibonde ni huo ulevi na majidai tuu kwa kujidhania ana umaarufu wa kumwezesha kufanya atakalo. Hapo kuna makosa ya faini na ya jela, ngoja sheria ichukue mkondo ndio watu watajifunza.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hii post mnaihamisha sana jana mliitoa kule jukwaa la habari mchanganyiko mkaipeleka jamii photos leo tena mmeitoa na kuileta huku celebrity mnatuchanganya bana sisi mada yetu kwa wikiend hii ndo hii basi!mimi nimeitafuta kweli nikapagawa nikijua mods wameifuta!mambo gan haya ss!
Duu kumbe kuna updates nzuri kwamba wako na Gadner heeee imbombo ngafuuu!kutoka naona mpaka kesho!duuu bongo mapya yapo kila siku!
 
Invisible
mlituambia Jamii Media imeajili waandishi wake wa habari sasa wanafanya
nini hii thread tumeshaanza kulishana matango pori ni kwa nini
waandishi wa Jamii media polisi tupate usahihi wa habari hii?

kwani bado kuna utata?
 
Last edited by a moderator:
Sasa gadna anaunganishwaje kwenye kesi hyo?maana nijuavyo mm dreva ni kibonde, mtusaidie ili wengine tujue!

Inawezekana na yeye alihusika katika kutoa lugha za mauzi kwa askari wa barabarani.
 

Wafungwe tuuu na wakitoka hiyo kesho basi na mie namkata kerbu trafik.
 

Et Tangazo la kutii sheria bila shuruti!
 

Attachments

  • Kibonde.jpg
    8.7 KB · Views: 293
Et Tangazo la kutii sheria bila shuruti!
Kama ni tangazo litavunja record ya matangazo dunian kote kwa kufuatiliwa na watu wengi, ila najua pombe sa iv zimekwisha so anaomba msmaha wayamalize na aliyemgonga, kama namuona anavyo;!!
Ooo afande samahan ujue shetan alinipitia,
Afnde;- alikupitia kwenda wapi?
Kibonde!:-ujue afande npo silias, ntalipa garama zote w nhurumie tu, m ntamalizana nae yele hata gari ntamnunua lingine!!

Jaman mnaokunywa maji ya mande kazi kwenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…