Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

It's a shame kwa mtu kma yeye. Kwanza ni ushamba kukimbia trafiki. Simama, mmalize tatizo. Pumbavu
 

Attachments

  • 1407675855928.jpg
    60.3 KB · Views: 1,218
 
Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha.




UPDATES:






Jamani mshasema ni kibonde Jina lake linasadifu akili na busara zake .. Yan huyu ni kibonde haswa tehhh
 
Jamaa(Kibonde)sio kwamba alikuwa anategemea kukwaa ukuu wa wilaya moja hapa nchini?.....najua utaachiwa soon broda kwani uliitetea sana serikali ya CCM kupitia media!
 

Kayanda anaenda kumtoa kama nani? Ni mwana-sheria wao?
 
Tupeane updates jamani, huyu jamaa bado anakojoa kwenye ndoo mpaka sasa?
 
na si kama mdhaniavo


acha kupotosha watu.

 
Ni tangazo, kuna rafiki yangu yuko Clouds Media ameniambia.
 
Utii wa "SHERI" bila shuruti ni jina la movie,kampuni au nini hasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…