PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Mkuu, hilo popoma halina akili.
Ccm ilishakufa zamani,imebaki na michawa tu
 
Umechambua vizuri sana . Lissu anapaswa kuongozwa na siyo kuongoza
Heche sio size yako wewe chawa
 
Amejikoroga hapa mwishoni kukisusia chama chake kisa kushindwa uwenyekiti, kwa sasa alipaswa kuwa beneti na viongozi waliochaguliwa
Mwenyekiti mpya ndo anapaswa aache upumbavu kama anataka support ya Mbowe. Mbowe anaipenda Tanzania kuliko CHADEMA kwa hiyo hawezi kuunga mkono mtu mpuuzi anayesema atakinukisha huku familia yake ikiwa Marekani.
 
Makengeza alikuwa kinyago cha CCM kiliwekwa pale CHADEMA ili kufanya maigizo ya kisiasa..... bahati mbaya tamaa ilimponza na kutaka kula mwenyewe.... matokeo yake ndio haya sasa anaumbuka yeye na vinyago wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…