PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

🤣 Hahaha hili lijamaa tusingepiga hatua lilikuwa linatutapeli Wanainch
Uwe na heshima kwa mtu aliyejitolea muda na mali zake kukijenga chama. Ona akina lissu na heche wameingia tu wakaanza michango muda wote kwa ajili ya kuhudumia matumbo yao.
 
Mama yako maji ya shingo yamemfika, Bungeni Juzi alikosa kabisa kujiamini, alionekana kujaa waswas mwingi, alionekana ni mtu aliyekata tamaa kabisa. Mwisho wenu umefikaaa. Pigia mstari hilo
Mama anaendelea kutamba kwa kishindo hadi 2030. Hakuna wa kumtikisa kitini alipoketi.
 
Dalali wa Kisiasa katika Ubora wake, Mbowe ni Mfanyabiashara ila Lissu ni mpambanaji haswa, Lissu angekuwa njaa na tamaa kwasasa pengine angekuwa na cheo kikubwa sana
 
Kumbe zile bendera za chadema alizokua anaweka nyuma akifanyiwa mahojiano alikua anaweka nyumbani kwake siyo ofisini
 
Mbowe hana mvuto wowote kisiasa kwa sasa ndo maana hata kwenye chama chake alishindwa uchaguzi wa huru na haki huyo siasa zimempita
 
Mama anaendelea kutamba kwa kishindo hadi 2030. Hakuna wa kumtikisa kitini alipoketi.
Ashapoteana huyo. Hakubaliki uraiani, anachoweza ni kutumia mapolisi tu. Halafu acha kama wewe sio mnafiki jibu swali nililokuuliza, leo unamsifiaje mbowe wakati ndo nyie nyie mlompa kesi ya Ugaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…