PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Hajibu anajua alimkandia kuwa ni gaidi Lucas amekimbia kulima kahawa mbozi anaudhalilisha ukoo kwa uchawa kiwango cha pro max
Njaa mbaya sana kaka, tumhurumie tu.
Akishapokea buku saba yake sasa anakuja JF kububujikwa na machozi ya furaha kwa kumuona Mbowe akitabasamu
 
Mwamba kakonda
Ila ana fwedha kuliko ukoo wa babaako wote. Ukoo wa mamaako wote. Ukoo wa mahawara zako wote (hapa namaanisha mahawara kabla hujaolewa na baada ya kuolewa), ukoo wa mme wako wote (kama umeolewa lakini) na Koo za watoto wako walikooa au kuolewa.
 
Nyerere hakuwahi kutukanwa na wanachama wa CCM. Siku zote heshima yake ilikuwa pale pale. Nyinyi mmemtukana sana Mbowe halafu leo mnataka Mbowe aongee kama nani? Hasa baada ya kumfurumushia matusi na kebehi kibao! Mnasema kuwa ni msaliti na amelamba asali. Waliopo sasa hivi katika nafasi za uongozi katika siasa za upinzani wanatosha. Akisema mtasema anawaingilia na hajakubali kuwa alishindwa. Kama watahitaji ushauri wake wanakujua anakoishi. Sio lazima wangoje presa.

Amandla...
 
Akae kimya hivo hivo lisuu anatosha sana.
 
Umewapa ukweli mchungu sana
 
Sasa leo ndiyo nim ejua kumbe huyu chawa Lucas mwashamba ndiyo @Yericco Nyerere
 
Itafahamika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…