Picha: Ghetto la ndege John

Mbona rangi mbili za room tofauti?

Never say never
 
Jiko La gesi unaliweka chumbani mkuu uko serious na uhai wako kweli, ushauri wangu jitahidi usafi ni aibu mifuniko ya ndoo kuiweka juu ya godoro. Punguza kwenda kwenye mikutano ya ccm ufanye usafi ghetto.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hongera sana kwa kuwa na kwako uko na amani na moyo kwako ni kwako tu

Wengine mpaka wanaishia kwao au kwa mashemeji zao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo picha ya bendera imenifanya nikuone ni kijana wa wa aina gani
 
Picha 1, 2 ,3 rangi ni pink na purple ( getto la msichana?) picha 4 & 5 rangi ingine ...
Hongera sana

.
Analysis yako nimeipenda. Niliona tangu asubui, hata ukisoma hizo details za ktk kila picha details zinatofautiana. Hizo picha mbili za mwisho zinaweza kuwa ndiyo zake.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…